Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Kipindi cha nyuma hapo jf na Twitter (x) ilikua ni mitandao iliyoonekana kama ya watu wa hadhi fulani,
Hata unapoingia jukwaani kwa mara ya kwanza unakagua comment yako kama ina sifa ya kuwepo jukwaani,
Ila kwa sasa mambo yamebadilika facebook wamehamia huku, anaweza mtu kuomba msaada ila ukisoma comment unapata mashaka na wanaochangia,
Sijui nini kitairudishia sifa jf iliyokuwapo awali
Watu hawahawa wanaoiharibu JF kwa michango hasi ndio wanaoweza kujenga hili jukwaa, lakini inahitaji mabadiliko ya fikra na kuwa mchango chanya. JF ya zamani ilikuwa na hadhi kwa sababu ya aina ya mijadala iliyokuwepo ilijaa hoja nzito na mijadala yenye tija. Sasa, upepo umebadilika, lakini bado kuna nafasi ya kuirudisha kwenye mstari(Watu wote wa hovyo wawe banned ikiwezekana maana wanaharibu mijadala na mtu ukianzisha Uzi ni vyema kuwe na option ya mwanzisha thread kumanage thread yake).
Amaa kweli!!
Ukiona nyumba imevunjika, usiulize nani aliiharibu, jiulize nani yuko tayari kuijenga upya.
 
Nini maana ya akili ndogo?

Je ni mimi niliekujibu logically kwamba sie kila anae kudiss ana akili ndogo zaidi yako au wewe unaendelea kusema kila anakudisa vikali ni moumbavu

That so,

Je nini mimi mwenye low IQ au wewe ambaye unajibu kwa mihemuko kama uko period?
Mkicheza hapa mtaitimiliza nada kivitendo.Mmoja atumie high IQ
 
Hii inawezekana mkuu kuna kijana maskini juzi juzi juzi tu leo ni tajiri hana baya.
Eee maisha yanabadilika bana huyo anashangaa mtu kutoboa ndani ya miezi tisa na anajua mpira hautumii hata sekunde kuingia golini.
 
Sema hii comment imenifanya nicheke🤣🤣🤣🤣🤣, anywei, kwako Tajiri Sinabay ...
Nilianza na punje ishirini za mchele nikawa natengeneza vitafunwa vya mchele nauza mashuleni kwa sasa namiliki Super market ya kwangu kiwanda cha juisi kiwanda cha maji na vingine vingi sina muda wa kupoteza kuviorodhesha vyote.
 
Nilianza na punje ishirini za mchele nikawa natengeneza vitafunwa vya mchele nauza mashuleni kwa sasa namiliki Super market ya kwangu kiwanda cha juisi kiwanda cha maji na vingine vingi sina muda wa kupoteza kuviorozesha vyote.
Tajiri huna baya😂😂😂😂... Hongera sana.
 
Sema TU you want to mingle with me
Mie ntu wa aibu sana, hata cjui nikwaambie nn🤗😋

Sema napenda mishangazi matajir 🤘 una yatch kama hiyo ya Lishangazi kwenye mupicha? Btw siyo la dot com lakini, yule simuezi mie napiga nne yy anataka moja ya kulala mie Aku kabisa.
leo3-jpg.3240995

😛
 
Nilianza na punje ishirini za mchele nikawa natengeneza vitafunwa vya mchele nauza mashuleni kwa sasa namiliki Super market ya kwangu kiwanda cha juisi kiwanda cha maji na vingine vingi sina muda wa kupoteza kuviorodhesha vyote.
Haba na haba, ukajaza kibaba.
Wewe ni IQ kubwa. 😁
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mlishashindikana nyie wakuu 😄 Bichwa Komwe, davidi mmari star, na tule Nyau nini ndizi? yule, sio watu wa Kawaida ase.

hakijaharibika kitu😂
Yaah tena nishafungua uzi juu ya hili.
 
Back
Top Bottom