Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

mimi nadhani wote tunaotumia hizi social medias ni low IQ...maana mitandao hiyo yote imejaa high toxicity contents, ambazo high IQ ni ngumu kuwa nazo around tena kwa kununua bando kabisa,...
kwahiyo low IQ wenzangu, mabishano yenu yanaendelea ku-prove IQ zenu,.....😂😂
 
Umenena vyema mkuu, japo matusi sio mazuri ila mitandao ya kijamii unaichukulia tu kama ilivyo , kiufupi huku mtu anaweza onekana mwehu kama BICHWA KOMWE - ila deep down ni mtu makini mno na ana mchango mkubwa mno kwa jamii.
Ni kweli mkuu mitandao ya kijamii mara nyingi huonyesha upande mmoja tu wa mtu. Mtu anaweza kuonekana mwehu lakini kwa undani ana akili na mchango mkubwa kwa jamii. Hivyo ni kweli, tusihukumu watu haraka(lakini sio kwa watoa matusi na kejeli), kwani kila mtu ana hadithi na mchango wake humu JF.
 
mimi nadhani wote tunaotumia hizi social medias ni low IQ...maana mitandao hiyo yote imejaa high toxicity contents, ambazo high IQ ni ngumu kuwa nazo around tena kwa kununua bando kabisa,...
kwahiyo low IQ wenzangu, mabishano yenu yanaendelea ku-prove IQ zenu,.....😂😂
Hahaha, ni kweli, mitandao mara nyingi inakuwa na vitu vingi vinavyochangia "toxicity" na wengi wetu tunajikuta tunajiingiza kwenye mabishano yasiyokuwa na maana. Lakini ni muhimu kukumbuka kwamba kila mmoja ana njia yake ya kujifunza na Kuna wengine kupitia threads za watu wengine hujifunza Mimi pia ni mmoja wa watu ambao wamejifunza kupitia mawazo ya waungwana humu(JF is the best place to learn, if you want fun you can dive in other social media but in learning JF stands as the king).
 
mimi nadhani wote tunaotumia hizi social medias ni low IQ...maana mitandao hiyo yote imejaa high toxicity contents, ambazo high IQ ni ngumu kuwa nazo around tena kwa kununua bando kabisa,...
kwahiyo low IQ wenzangu, mabishano yenu yanaendelea ku-prove IQ zenu,.....😂😂
Mwingine anaweza kukupinga kwamba highly iq hawezi kwepa toxicity contents bali huzichambua nakuchuja zinazo mfaa🤔
 
nae atakuwa ni low IQ kama mimi tu , 🤣🤣😂🤣 hana jipya zaidi ya mbwembwe tu... maana high IQ nasikiaga hawatumii social medias kwakuwa hawataki tuwaambukize ujinga, ni bora wakacheza chess kurefresh mind,...😂🤣
 
Hivi Elon nae ni low au high kwa sababu nataka nifanye maamuzi chapu mkuu?
 
mwenzetu ana bahati...yule ni chotara,..low IQ kwa mama, high IQ kwa baba,....so ni yeye tu kuji-tune😂
 
Sio kwel mkuu 🤣
Naogopaga Sana kuja kua mlevi.. Mimi ni mnywaji..
Na Tena ukinywa kiasi akili inakua very active yaan upeo unapanuka Sanaa ukiwa na deals unazipanga sawa sawa yaan upeo unapevuka Sana.

Ukizidisha kipimo ndio unaanza kusinzia , uzembe, uvivu, ugomvi ,e.t.c

Lazima tuutetee mvinyo ni kwa ma champion
 
Kabisa bro binafsi nikinywa naona akili inataka kupasuka kwa madini yaliyopo😄
 
Back
Top Bottom