Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Kiranga, watu waoweza kujibu hoja kwa hoja ni wachache sana. Wengi wana commit logical fallacies hasa hasa ad hominem
Naam.

Ad hominem.
Non sequitur.
False dichotomy.
Hasty generalization.
Special pleading.
Argument from authority.
Argument from tradition.

Hizi ni baadhi ya logical fallacies ambazo naziona sana.
 
😂😂😂😂😂

Nimecheka hadi shemeji ameshtuka na alikuwa amekuja kulala aamkie zamu ya jioni katika kampuni ya mtoa madaa


Ila mkuu sada hii ndio utamu wa JF 😂😂😂 mambo kama hayo unayaacha tu ynapita kwa maana hayataacha kuja humu

Humu kila mtu ni tajir, ana iq kubwa, ana biashara k koo😂😂😂
Sisi wengine ni ma jobless pro max, cc min -me, dosho12
 
Kama huyo member anaejiita Cohen huyo alitakiwa ahudhurie clinic ya afya ya akili mirembe ukibishana nae kwa sisi tunaemjua tunakuona na wewe ni chizi
Mimi kinachonishinda kuelewa inakuwaje welevu wa jf mnahangaika na machizi.com kama sisi😂

Lucia aka Lucha nishakuambia kuwa mombasa inakuhusu
2405548d54e078d9cd90507d46d3af5a (1).jpg
 
Hivi kwa Tanzania Kuna mna mtu siyo low IQ ukianzia uongozi wa juu?

Tunahitaji msaada wa afya ya akili.
Mfumo waloutengeneza ccm ni kuweka watu wajinga ili WAWEZE kupokea maelekezo kama yanavyotolewa na huo uongozi wa juu, Tanzania watu wenye akili nyingi wapo sana ila hawapewi nafasi sababu hawawezi kuendeshwa kama unavyotaka, ebu fikiria taratibu, kwanini machawa woote ni ccm ? Mwinjaku and the likes
 
Back
Top Bottom