Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

😂😂😂😂😂😂😂

Mallerina nimecheka sanaaa hadi nimemwaga maji ya shemu ya kuoga, sijui atanifukuza😂

min -me Intelligent businessman karibu tule ndio nimepakua ugali baada ya kumpelekea shemeji maji ya kuoga.

Sasa sijui mtoa mada mwenye akili kubwa amegundua elikopta ya kutupeleka juani au amejikunja kama mimi na ugali wa shem
Mallerina yupo kwenye madhabau anachota mipesa kama mwehu vile
 
Mitaa ya IG, Twitter (X), JF, na kwingine ni kama jungle ukikosa Emotional Quotient (EQ) ya kutosha, unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa kidato cha tatu! au mwingine kavurugwa/low IQ.

Wengine ni vichalii vinavyoishi kwa waume za dada zao, lakini wakishika simu, wanakuwa mabosi wa mitandaoni.

Hii mitaa inakuhitaji uwe mbunifu, ujue tofauti ya mabishano ya maana na kelele za watoto wa shule na watu wenye IQ ndogo. Usijichoshe bure ujanja ni akili, si hasira!
Hata hapa JF wapo wengi sana tu.

Mimi nikishaona mzozo usio na afya na mtu asiye na akili nampeleka ignore list tu.
 
Kuna mtu humu humu amedai humu humu kwamba amemaliza Form Four na anataka Ushauri wa kwenda Advance ama College.

Miezi tisa badae ashajua kila kitu.

Ana biashara mwenge, ameajiri watu kumfanyia kazi, anajenga bwawa la samaki, Programming, IQ, EQ na tafiti zingine lukuki ashafanya.

Eli Cohen unamjua huyo? 😂
 
Wewe kuwaita wachangiaji wa JF low IQ kwako unaona hujawatusi au kuwatweza uwezo wao wa kiakili???

Tusi kwako ni nini hasa???
Hata hapa JF wapo wengi sana tu.

Mimi nikishaona mzozo usio na afya na mtu asiye na akili nampeleka ignore list tu.
Low IQ may be reflected on social media through the following:
-Matumizi ya lugha ya matusi,dhihaka na lugha isiyofaa.
-Pointless(Kutokujibu hoja kwa mantiki) mtu anatoa hoja isiyo na mashiko kwa Jamii.
-Kupost kila jambo bila kujua athari yake kwa Jamii mfano hapa JF nimekutana na wadau wanapost picha ya pornhub eti ni quote anatoa🤔.
-kutokuwa na tabia ya kujifunza kujitathmini.
-Kudhihaki watu wengine kwa kutokubaliana nao mfano hapa JF kumekuwa na watu Wana tukana hovyo kwasababu haja kubaliana na mada ya mtu fulani mfano:"Upumbavu mtupu huu"
-kuanzisha vurugu zisizo na maana: mtu mwenye busara ataondoka anapo ona hoja zisizo za msingi
 
Kuna mtu humu humu amedai humu humu kwamba amemaliza Form Four na anataka Ushauri wa kwenda Advance ama College.

Miezi tisa badae ashajua kila kitu.

Ana biashara mwenge, ameajiri watu kumfanyia kazi, anajenga bwawa la samaki, Programming, IQ, EQ na tafiti zingine lukuki ashafanya.

Eli Cohen unamjua huyo? 😂
Aisee nina kigugumizi, maana jina lake refu🤣😂
 
Kuna mtu humu humu amedai humu humu kwamba amemaliza Form Four na anataka Ushauri wa kwenda Advance ama College.

Miezi tisa badae ashajua kila kitu.

Ana biashara mwenge, ameajiri watu kumfanyia kazi, anajenga bwawa la samaki, Programming, IQ, EQ na tafiti zingine lukuki

Eli Cohen unamjua huyo? 😂
Hii inawezekana mkuu kuna kijana maskini juzi juzi juzi tu leo ni tajiri hana baya.
 
Kuna mtu humu humu amedai humu humu kwamba amemaliza Form Four na anataka Ushauri wa kwenda Advance ama College.

Miezi tisa badae ashajua kila kitu.

Ana biashara mwenge, ameajiri watu kumfanyia kazi, anajenga bwawa la samaki, Programming, IQ, EQ na tafiti zingine lukuki ashafanya.

Eli Cohen unamjua huyo? 😂
😂😂😂😂😂

Nimecheka hadi shemeji ameshtuka na alikuwa amekuja kulala aamkie zamu ya jioni katika kampuni ya mtoa madaa

Ila mkuu sasa hii ndio utamu wa JF 😂😂😂 mambo kama hayo unayaacha tu ynapita kwa maana hayataacha kuja humu

Humu kila mtu ni tajir, ana iq kubwa, ana biashara k koo😂😂😂
 
Back
Top Bottom