Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Yeah lakini ni vyema kutoa maneno ya hekima na kurespond vizuri.
Sio mtu anatoa maneno ya kejeli, kashfa au matusi I'll still consider people like this Wana low IQ.

Watu wenye IQ kubwa huwa waungwana sana na wastaarabu.

Lakini, JF is full of great thinkers I really appreciate that mkuu. The problem comes to low IQ expert on JF

Hakika ni maisha yao
Yeah
 
Cha kwanza tu pale unapo wadiss watu kwa IQ zao ni clear proof wewe hauko stable mentally na socially sasa unataka upata faraja kwa kudowngrade watu.

Hence so,

Mtoa mada sio kwaamba anawazidi akili, wewe muangalie bado anabishana na sisi waokota makopo.😂😂
 
Yeah lakini ni vyema kutoa maneno ya hekima na kurespond vizuri.
Sio mtu anatoa maneno ya kejeli, kashfa au matusi I'll still consider people like this Wana low IQ.

Watu wenye IQ kubwa huwa waungwana sana na wastaarabu.

Lakini, JF is full of great thinkers I really appreciate that mkuu. The problem comes to low IQ expert on JF
Changamoto yako unajipa sana umuhimu na kuwapa umuhimu wale wewe kwa mtazamo wako unaona ndio wanaofaa.

Haya maisha wote tungekuwa ni watu wa ndio na pasitokee wa kusema hapana,kusingekuwa na utamu wa maisha.

Unapotumia msingi wa akili kubwa (High IQ) na akili ndogo(LOW IQ) lazima uwe unauhakika na utupe kipimo kipi umetumia kuwapima hao watu.Tofauti na hapo wewe ni mjivuni,mjinga na mtu asiyependa mabadiliko.
 
Unapotumia msingi wa akili kubwa (High IQ) na (LOW IQ) lazima uwe unauhakika na utupe kipimo kipi umetumia kuwapima hao watu.Tofauti na hapo wewe ni mjivuni,mjinga na mtu asiyependa mabadiliko.
Kumbe mkuu kuna mda huwa una andika madini🤣
 
Nnje ya mada mkuu , hivi majivu mnapaka kwa sababu gani?
Iko na story mbili ila zote mwisho wake ni mmoja, ya kwanza wewe ni kavumbi na utarudi kuwa mavumbi na ya pili ni ishara ya unyenyekevu na majuto juu ya madhambi ambayo umeyafanya iwe kwa kujua au kwa kutokujua... Twende tukapake majivu mkuu😅😅 au na hii nayo unataka uthibitisho?🤣
 
Kumbe mkuu kuna mda huwa una andika madini🤣
Swadakta.

Hii ina prove kuwa sio kwamba watu wa JF na maandiko yao ndio ishara ya upeo wa akili yao.

Mara nyingi humu kuna masihara lakini pia ndio yanafanya tu-enjoy.

Unaweza kuandikka kitu mtu akaandika masihara ,kama hautaki una mblock

Lakin unaposema aliekupinga mfano kuwa hakuna uchawi eti yeye nimjinha zaidi yako yani hio ina prove how insane u are kama mtos mada
 
Kwa hiyo, kwa akili yako ndogo, mtu anayekataa kupoteza muda kubishana na watu wasio na mchango wowote kwenye maisha yake ni 'sweet baby'? 😂

Basi wewe unakazana kujiona mjuaji huku maisha yako yako pale pale, ukiwa na muda wa kuandika ujinga mtandaoni badala ya kujitafutia maendeleo. Sasa niambie, huu ujinga unaoandika hapa unakulipa nini? Au ndio zile kelele za form 3 wakijiona wana akili kuliko wote?
Hii mada yako uliyoandika imekuingizia shingapi bwanamkubwa.

Jaribu kuhubiri yale unayoweza kutenda😂😂😂its easy saying than doing.
 
Kama mnataka kuona mtoa mada anakili ndogo kama zangu ngoja muone anatanijibu hii comment.

"MTOA MADA, MAYBE U ARE JUST INSANE"
 
Hii mada yako uliyoandika imekuingizia shingapi bwanamkubwa.

Jaribu kuhubiri yale unayoweza kutenda😂😂😂its easy saying than doing.
Tajiri gani anabisha na vijana wanaoishi kwa shemeji zao hadi sasa😂😂😂😂😂
 
Changamoto yako unajipa sana umuhimu na kuwapa umuhimu wale wewe kwa mtazamo wako unaona ndio wanaofaa.

Haya maisha wote tungekuwa ni watu wa ndio na pasitokee wa kusema hapana,kusingekuwa na utamu wa maisha.

Unapotumia msingi wa akili kubwa (High IQ) na akili ndogo(LOW IQ) lazima uwe unauhakika na utupe kipimo kipi umetumia kuwapima hao watu.Tofauti na hapo wewe ni mjivuni,mjinga na mtu asiyependa mabadiliko.
Mkuu matumizi ya matusi, kejeli na hoja zisizo na mashiko reflect low intelligence the way you interact with important discussion shows how intelligent you are!!
 
Huyu jamaa ni matokeo ya vijana wale walio na hofu za maisha.

Wanaogopa kudisiwa
Wanaogopa maneno ya watu.

Huyu jamaa ni aina ya vijana walioridhika na upeo wa akili yao, basi kutokana ni mbishi na mkaidi anaona wengine ni mazombi ila kiukweli yeye ndio vampire kabisa😂
kijana amejifungia kwenye box hataki challenge🤗🤗🤗

Yeye anajiona anayajua yote huyu ndo wale kwenye maisha hawajawahi kukutana na changamoto yamkini amelelewa katika mazingira ambayo hajawahi kuface difficulties na akazitatua mwenyewe bila usaidizi wa watu wengine wanaomzunguka.

Anaashiria kizazi cha wasomi,wajivuni wasiopenda kusikiliza mawazo ya wengine.Anaamini sana kwenye uwezo wake binafsi na elimu yake.Ni hatari mtu kama huyu kupewa madaraka makubwa.
 
Back
Top Bottom