Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Mitaa ya IG, Twitter (X), JF, na kwingine ni kama jungle ukikosa Emotional Quotient (EQ) ya kutosha, unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa kidato cha tatu! au mwingine kavurugwa/low IQ.

Wengine ni vichalii vinavyoishi kwa waume za dada zao, lakini wakishika simu, wanakuwa mabosi wa mitandaoni.

Hii mitaa inakuhitaji uwe mbunifu, ujue tofauti ya mabishano ya maana na kelele za watoto wa shule na watu wenye IQ ndogo. Usijichoshe bure ujanja ni akili, si hasira!
Uandishi wako unakuweka kundi la hao unaowakemea.Ni hatari sana inapofika pahala kichaa anapocheka vichaa wenzake😂😂😂😂

📌kila mtu anachanganyikiwa kwa muda wake.
 
Uandishi wako unakuweka kundi la hao unaowakemea.Ni hatari sana inapofika pahala kichaa anapocheka vichaa wenzake😂😂😂😂

📌kila mtu anachanganyikiwa kwa muda wake.
😂😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Kwamba mwamba amechanganyikiwa muda huu next time atakuwa poa min -me Intelligent businessman

Mi nadhani tangia nimezaliwa na nimetembea sijwahi kuona mtu mwenye upeo mkubwa akili anawazomea wasio na akili

Yani huyu ni mwenzetu ambaye kichaa kimepanda kwa muda huu😂😂😂😂😂
 
Hii mitaa pia kuna watu wenye miaka 50s wanaishi maisha ya 20s ko kupanga ni kuchagua
Yeah lakini ni vyema kutoa maneno ya hekima na kurespond vizuri.
Sio mtu anatoa maneno ya kejeli, kashfa au matusi I'll still consider people like this Wana low IQ.

Watu wenye IQ kubwa huwa waungwana sana na wastaarabu.

Lakini, JF is full of great thinkers I really appreciate that mkuu. The problem comes to low IQ expert on JF
 
At what logical extent do u propose yourself to be of high intelligence than anyone who oppose, diss or disagrees with u.

Then,

This proves that u are a highly emotional sweet baby who is afraid of being criticised.

Kama JF hauiwezi, angalia porno siku nzima.
Ni kichekesho kabisa kijana kavurugwa na kavurugika🤣🤣🤣🤣🤣

Amekosa wa kusupport mashudu yake ameanza kuforce watu wakubaliane na mlengo wake wa kimawazo.

📌📌📌Hizo ni dalili za low EQ.
 
Ni kichekesho kabisa kijana kavurugwa na kavurugika🤣🤣🤣🤣🤣

Amekosa wa kusupport mashudu yake ameanza kuforce watu wakubaliane na mlengo wake wa kimawazo.

📌📌📌Hizo ni dalili za low EQ.
Sasa ndio hata mimi nilikuwa namuambia kuwa kama wewe ungekuwa una akili kubwa kutuziidi wala usingehangaika kubsishana na watu ila yeye anatapika tapika tu humuu😂😂🥳
 
😂😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Kwamba mwamba amechanganyikiwa muda huu next time atakuwa poa min -me Intelligent businessman

Mi nadhani tangia nimezaliwa na nimetembea sijwahi kuona mtu mwenye upeo mkubwa akili anawazomea wasio na akili

Yani huyu ni mwenzetu ambaye kichaa kimepanda kwa muda huu😂😂😂😂😂
Hajui watu wenye high IQ hata wanavyobehave😂😂😂

📌Tunaishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuendelea kuwafanya vijana wachanganyikiwe👏👏🤗
 
Kama ujazoea kujiamini basi kujiamini utahisi ni ujeuri au maringo

Kama ujazoea ku take action kwenye mambo yako basi kufanya hivyo utahisi kama ni ugomvi/uchokozi

Kama ujazoea kujipa kipaumbele basi kufanya hivyo utahisi kama ni ubinafsi

Hivyo mara nyingine sio mtu kasema au kafanya nini ila ni wewe umezoea nini
 
Nini maana ya akili ndogo?

Je ni mimi niliekujibu logically kwamba sie kila anae kudiss ana akili ndogo zaidi yako au wewe unaendelea kusema kila anakudisa vikali ni moumbavu

That so,

Je nini mimi mwenye low IQ au wewe ambaye unajibu kwa mihemuko kama uko period?

Ulisahau kuweka mfano la low IQ lakini umejitokeza kwa comment section 😂😂
 
Back
Top Bottom