Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Mitaa ya IG, Twitter (X), JF, na kwingine ni kama jungle ukikosa Emotional Quotient (EQ) ya kutosha, unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa kidato cha tatu! au mwingine kavurugwa/low IQ.

Wengine ni vichalii vinavyoishi kwa waume za dada zao, lakini wakishika simu, wanakuwa mabosi wa mitandaoni.

Hii mitaa inakuhitaji uwe mbunifu, ujue tofauti ya mabishano ya maana na kelele za watoto wa shule na watu wenye IQ ndogo. Usijichoshe bure ujanja ni akili, si hasira!
Anaweza kuwa form 3 na akakuzidi kila kitu kasoro umri.
 
Kama hadi sasa hamjamtambua kuwa mtoa mada ni muhanga wa msongo wa mawazo na roho mbaya na wala sio kwamba ana akili kutuzidi😂, ebu muangalie hadi sasa anajibizana na sisi mapunguani wenye low IQ

Intelligent businessman min -me ebu muambie huyu muimba taarabu kuwa JF tuliikuta na tutaiachaz, wala sio pahala pa kuchukulia serious fikra na upeo wako.
 
Kama hadi sasa hamjamtambua kuwa mtoa mada ni muhanga wa msongo wa mawazo na roho mbaya na wala sio kwamba ana akili kutuzidi😂, ebu muangalie hadi sasa anajibizana na sisi mapunguani wenye low IQ

Intelligent businessman min -me ebu muambie huyu muimba taarabu kuwa JF tuliikuta na tutaiacha.
Ila tusifikie huku mkuu😂
 
Back
Top Bottom