Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
- #21
Unajitahidi sana kuonesha una akili, lakini kila sentensi unayoandika inakufanya uonekane mjinga zaidi. 😂Nini maana ya akili ndogo?
Je ni mimi niliekujibu logically kwamba sie kila anae kudiss ana akili ndogo zaidi yako.
That so,
Je nini mimi mwenye low IQ au wewe ambaye unajibu kwa mihemuko kama uko period?
Kwa akili yako, ukiona mtu hatumii matusi wala hasira, basi yuko kwenye ‘period’? Hivi ndivyo unavyojifariji ukiwa huna hoja?
Kama kweli una akili kubwa kuliko unavyodai ungeweza kutoa hoja bila kutumia matusi na dharau za kiwango cha watoto wa form 3. Lakini kwa sasa, endelea kupambana na kutype labda siku moja utapata ushindi online unaoutafuta kwa bidii.