Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Mitaa ya IG, Twitter (X), JF, na kwingine ni kama jungle ukikosa Emotional Quotient (EQ) ya kutosha, unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa kidato cha tatu! au mwingine kavurugwa/low IQ.

Wengine ni vichalii vinavyoishi kwa waume za dada zao, lakini wakishika simu, wanakuwa mabosi wa mitandaoni.

Hii mitaa inakuhitaji uwe mbunifu, ujue tofauti ya mabishano ya maana na kelele za watoto wa shule na watu wenye IQ ndogo. Usijichoshe bure ujanja ni akili, si hasira!
Walio wengi wanafanya utafiti
 
mimi nashangaa watu wanatokwa na mapovu wakati option za kuignore watu usiwataka kuwaona ipo.

Pia mtu yoyote anayohaki ya kufungua nyuzi kadri ya uwezo na pumzi yake.Sasa yanini mtu anapandisha sukari kwa vitu unavyoweza kuvicontrol.
Usi kute na jasho Lina mtoka, huku mapigo ya moyo yako speed Kama treni😂🤣
 
Tumechoka kuwa serious
😂😂😂😂😂😂😂

Mallerina nimecheka sanaaa hadi nimemwaga maji ya shemu ya kuoga, sijui atanifukuza😂

min -me Intelligent businessman karibu tule ndio nimepakua ugali baada ya kumpelekea shemeji maji ya kuoga.

Sasa sijui mtoa mada mwenye akili kubwa amegundua elikopta ya kutupeleka juani au amejikunja kama mimi na ugali wa shem
 
Usi kute hata huo ugali wa Shem bado haja ula, mpaka aoshe vyombo 🤣 😂
 
Mitaa ya IG, Twitter (X), JF, na kwingine ni kama jungle ukikosa Emotional Quotient (EQ) ya kutosha, unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa kidato cha tatu! au mwingine kavurugwa/low IQ.

Wengine ni vichalii vinavyoishi kwa waume za dada zao, lakini wakishika simu, wanakuwa mabosi wa mitandaoni.

Hii mitaa inakuhitaji uwe mbunifu, ujue tofauti ya mabishano ya maana na kelele za watoto wa shule na watu wenye IQ ndogo. Usijichoshe bure ujanja ni akili, si hasira!
DJ chukua 🎤 🎙️ MAKOFI matatu Kwako 😊.

Upo sahihi.
 
Swadakta.

Hii ina prove kuwa sio kwamba watu wa JF na maandiko yao ndio ishara ya upeo wa akili yao.

Mara nyingi humu kuna masihara lakini pia ndio yanafanya tu-enjoy.

Unaweza kuandikka kitu mtu akaandika masihara ,kama hautaki una mblock

Lakin unaposema aliekupinga mfano kuwa hakuna uchawi eti yeye nimjinha zaidi yako yani hio ina prove how insane u are kama mtos mada
komasavaa jamaa yangu sana tunachuana mno kwenye nyuzi zake😂😂
 
Back
Top Bottom