Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimecheka hadi shemeji ameshtuka na alikuwa amekuja kulala aamkie zamu ya jioni katika kampuni ya mtoa madaa

Ila mkuu sasa hii ndio utamu wa JF πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mambo kama hayo unayaacha tu ynapita kwa maana hayataacha kuja humu

Humu kila mtu ni tajir, ana iq kubwa, ana biashara k kooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eh Shemeji mpishi ama mvuvi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shs 70,000 kwa mwezi

Mkuu jiongezeπŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

acha niache manake sitakuwa salama
 
Kitu nimegundua kuna wakuu humu wanakuja kwa ajili ya entertainment na kupashika habari.

Wengine wanakuja kutafuta wanaume kwa nguvu zote kama huyu jamaa anaitwa Lucha

Kama mnadhani utani huyu jamaa kila nyuzi ana nimention,πŸ˜‚, sikutaki bana, mchukue mtoa mada maana mnaendnana IQ
 
At what logical extent do u propose yourself to be of high intelligence than anyone who oppose, diss or disagrees with u.

Then,

This proves that u are a highly emotional sweet baby who is afraid of being criticised.

Kama JF hauiwezi, angalia porno siku nzima.
Shem wako anarud saa ngap kuja kukutuma ukamletee karanga na maziwa mgando
 
Mleta uzi si unamuona huyo chizi niliekutolea mfano hapo juu kashajibu, sasa huyo ukibishanana nae unakua na wewe ni chizi
 
At what logical extent do u propose yourself to be of high intelligence than anyone who oppose, diss or disagrees with u.

Then,

This proves that u are a highly emotional sweet baby who is afraid of being criticised.

Kama JF hauiwezi, angalia porno siku nzima.
Mtu mwenye IQ kubwa hukaa kimya
 
ALL IN ALL IMETOSHA SASA

NAFIKIRI NIMEMUONESHA MTOA MADA NA DADA YAKE Lucha KUWA WAO NI WATU TU WA KAWAIDA KAMA AISI ILA TU BASI WANASUMBULIWA NA ILLUSIONS.

MKITAKA KUONA KWAMBA HAWAKO STABLE, WATANIJIBU HII COMMENT KWA MAANA WAMESHAJUA MIMI NI PUNGUANI SASA WANAHANGAIKA NA SISI ILI IWEJE KAMA SIO BASI TU TUNALINGANA IQ.πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://youtube.com/shorts/7zX-AzjjOg8?si=lB73Ovl1_X5L9wUN
 
Hapa nipo shambani kwangu, na bikijibu baadhi ya maoni ya waungwana tu. Hii inaonyesha kwamba katika maisha huwezi kushindana na kila mtu.

#Lazima ufikiri kwa kina kwa nini mtu huyu yuko hapa sasa! Kwanini asiwe shule au chuo? Fikiria mara mbili, tunasaidia watu kupitia mawazo ya wengine. Mwaka 2024, nilikuwa naandika uzi kuuliza ushauri, ilikuwa ni utafiti tu. Kuna watu huko nje wanasaidiwa kupitia mawazo ya waungwana.
Katika suala la biashara, kila mtu ana mifumo yake na njia zake za kutengeneza pesa. Katika maisha halisi, hakuna anayenifahamu, jina hili ni la bandia(Fake name).

'Humjui nani unae interact naye maishani, pengine ndiye muajiri wako.'

Ana IQ kubwa walahi. Miezi tisa tu keshamaliza Advance, Chuo, kafanya biashara Mwaka mzima, kesha somea programming, ana bwawa la samaki n.k n.k , Hana baya hana baya ase

Ni IQ.

Omba ushauri Min me na ww uwe tajiri mkuu.
 
Hahaha au ni watu wa madhabahu kama tajiri Mallerina alivyo ?
 
Hapa nipo shambani kwangu, na bikijibu baadhi ya maoni ya waungwana tu. Hii inaonyesha kwamba katika maisha huwezi kushindana na kila mtu.

#Lazima ufikiri kwa kina kwa nini mtu huyu yuko hapa sasa! Kwanini asiwe shule au chuo? Fikiria mara mbili, tunasaidia watu kupitia mawazo ya wengine. Mwaka 2024, nilikuwa naandika uzi kuuliza ushauri, ilikuwa ni utafiti tu. Kuna watu huko nje wanasaidiwa kupitia mawazo ya waungwana.
Katika suala la biashara, kila mtu ana mifumo yake na njia zake za kutengeneza pesa. Katika maisha halisi, hakuna anayenifahamu, jina hili ni la bandia(Fake name).

'Humjui nani unae interact naye maishani, pengine ndiye muajiri wako.'
Umenena vyema mkuu, japo matusi sio mazuri ila mitandao ya kijamii unaichukulia tu kama ilivyo , kiufupi huku mtu anaweza onekana mwehu kama BICHWA KOMWE - ila deep down ni mtu makini mno na ana mchango mkubwa mno kwa jamii.
 
IMG-20250304-WA0000.jpg
 
Mfumo waloutengeneza ccm ni kuweka watu wajinga ili WAWEZE kupokea maelekezo kama yanavyotolewa na huo uongozi wa juu, Tanzania watu wenye akili nyingi wapo sana ila hawapewi nafasi sababu hawawezi kuendeshwa kama unavyotaka, ebu fikiria taratibu, kwanini machawa woote ni ccm ? Mwinjaku and the likes
Sad aisee
 
Back
Top Bottom