Anti-Corona
Member
- Mar 19, 2020
- 9
- 8
Katika mwendelezo wa Vita ya kupambana na CORONA (COVID-19),inaonekana dhahiri kwamba nchi za Kidemocrasia (Democratic countries) zimelemewa mno na hili janga
zikiongozwa na Marekani na Ulaya kwa Ujumla,tofauti na mitazamo ya wengi hapo mwanzo kwamba pengine China kama Epicenter ya mlipuko huu ingekuwa kinara wa vifo na wagonjwa wengi but hali imekuwa tofauti sana na hata nchi nyingine za kijamaa mambukizi yapo chini nchi kama Russia,Cuba na Korea Kaskazin.
Sababu kubwa ya nchi hizi kuelekea kuishinda CORONA naweza sema ni kuwepo kwa Amri haiwezekani mtu anawekwa Karantini alafu baada ya siku kadhaa anatoroka ambapo kama ana CORONA anaenda ambukiza wengine wengi watu wa aina hii wanapaswa uawa bora tuonekane tunavunja haki za binadamu kuliko Taifa kuingia kwenye Massive death.
Pia serikali iache ficha majina ya wagonjwa kwa kigezo cha usiri unaolenga Linda privacy ya mgonjwa baadala yake wayatangaze hii itasaidia sana watu waliokutana na wagonjwa jitokeza wenyewe kwani hakuna anapenda kufa mfumo wa kutrack wakati fulani unafail na unaweza chukua muda mrefu.