Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Kitendo cha kujua una tatizo ni njia muafaka kuelekea kupona. Mungu akuongoze ngoja tusubiri wataalamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kwa mitihani inayokuandama, ila futa hio dhana kichwani mwako kwamba wewe ni binadamu wa ajabu, wewe sio wa ajabu wala hujaonewa, I know it hurts ila you have to be Strong, matatizo tumeumbiwa wanadamu. Kila mmoja ana majanga yake tukianza kuelezea matatizo yetu kila mmoja yanamshinda mwenzie, kuwa na Subira na umlilie Mungu wako akuondolee mitihani inayokukabili.
Asante mkuu. hiyo ni moja ya sababu kubwa inayonifanya nikae kimya. na nivyokuwa mkimya zaidi ndipo nazidi kuathirika anxiety inakuwa kubwa zaidi naishia kujifungia nyumbani.
That's why nilimshauri aende hospitali tu yoyote, aingie chumba cha daktari yoyote tuu, aweze kuongea nae (kwa sababu huyo daktari atakua hafahamiani nae) ila alionyesha kutoamini hospitali kwamba ziko after money.What if watu wanaomzunguka sio wasiri? Yaani akiwaelezea matatizo yake wanaweza kuyatangaza kwa wengine.. Una ushauri gn juu ya hilo?
Unatakiwa ujichanganye kwanza ,kama unajipenda na unataka ubadilike la sivyo wewe mwenyewe ndio unajiletea shida ,au badili mazingira hama kwa muda hapo unapokaa nenda mji mwingine inasaidiaMama sabrina, kiukweli naamini sana kwa wanawake katika kumbadilisha mtu ila nikuulize hivi, >>> ni demu gani anaeweza kuishi na man ambaye hajiamini? ni dem gani anayeweza kuishi na man ambaye amekata tamaa ya kimaisha, sipo tayari kumpa mzigo mwanamke yeyote ambaye hastahili kwa hilo. Huwa nakaa nawaza kuwa kwa maisha nayopitia sasa sitathubutu mwanangu aishi nilivyo/navyoishi sasa incase Mungu akanibariki niwe na mahusiano.
That's why nilimshauri aende hospitali tu yoyote, aingie chumba cha daktari yoyote tu, aweze kuongea nae (kwa sababu huyo daktari atakua hafahamiani nae) ila alionyesha kutoamini hospitali kwamba ziko after money.
I can do that. Naweza kurecommend hospitali na hata daktari ambae anaweza kwenda kuongea nae bila kuchajiwa hata senti moja. LAKINI, He has to be ready for it; na yeye mwenyewe aamini kwamba atasaidika. Yeye mwenyewe ndio inabidi a initiate hicho kitu. Otherwise itakua kama kumpeleka ng'ombe mtoni, uamuzi wa kunywa maji unabaki ni wa kwake. min92Huenda amesema hivo kwakua amejielezea kwamba yy hana kazi wala ajira rasmi labda anaogopa hizo hosptl zitahitaji atoe hela nyingi na yy hatoweza kumudu na kuendelea kufuga tatizo lake. Labda umsaidie kwa Kurecommend hosptl gn ambayo anaweza akapata msaada kwa bei nafuu.
I can do that. Naweza kurecommend hospitali na hata daktari ambae anaweza kwenda kuongea nae bila kuchajiwa hata senti moja. LAKINI, He has to be ready for it; na yeye mwenyewe aamini kwamba atasaidika. Yeye mwenyewe ndio inabidi a initiate hicho kitu. Otherwise itakua kama kumpeleka ng'ombe mtoni, uamuzi wa kunywa maji unabaki ni wa kwake. min92
I can do that. Naweza kurecommend hospitali na hata daktari ambae anaweza kwenda kuongea nae bila kuchajiwa hata senti moja. LAKINI, He has to be ready for it; na yeye mwenyewe aamini kwamba atasaidika. Yeye mwenyewe ndio inabidi a initiate hicho kitu. Otherwise itakua kama kumpeleka ng'ombe mtoni, uamuzi wa kunywa maji unabaki ni wa kwake. min92