Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,591
- 6,114
Uzi mtamu sana huuTatizo watu wanatumia vibaya vifungashio vyake, kwahiyo wapo kuziosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi mtamu sana huuTatizo watu wanatumia vibaya vifungashio vyake, kwahiyo wapo kuziosha.
Geita kama unanunuaga crates za soda basi tegemea kampuni ya Pepsi tu, coke adimu wakati mwingineYaani ni balaa[emoji28][emoji28] soda zikishushwa mnaanza kugombea aah maji yenyewe uhai yameadimika, afya naomyo adimu
Nadhani hujaelewa lengo la hii threadChupa zote za soda, bia, konyagi na K Vant hutengenezwa Kioo Ltd chupa zipo kibao.
Kwanza soda huuziwi kama huna chupa, iweje ziadimike?
Hapa sibanduki, ile ngomosi kali vile inakula chupaNimewaza kipumbavu hapa baada ya kuiwaza chupa ya mirinda nyeusi na fanta 😂😂
Haah haha haha hahah au ngomosi zinamaliza chupa kwa ajili ya friction?Nadhani hujaelewa lengo la hii thread
Ngoja wadada watakuja kukuelewesha...
Navyojua mimi viwanda vimejikita kutafuta kemikali bora zaidi ya kuosha chupa
Wazushi wanasema eti tatizo ni umeme... Kwani bia, Konyagi na K Vant viwanda vyake vinatumia mabetri?Haah haha haha hahah au ngomosi zinamaliza chupa kwa ajili ya friction?
Dada zetu wanaleta kiu mjiniHaah haha haha hahah au ngomosi zinamaliza chupa kwa ajili ya friction?
Jamaa mmoja kamuazima demu wake motokaa yake. Kesho yake anakuta "gialiva" ina kinyesi. Shenzy kabisaHapa sibanduki, ile ngomosi kali vile inakula chupa
We jamaa hii chai kiboko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa mmoja kamuazima demu wake motokaa yake. Kesho yake anakuta "gialiva" ina kinyesi. Shenzy kabisa
Nitupie picha?We jamaa hii chai kiboko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukome kabisa maana ulishangilia sana kifo cha MagufuliNimezunguka kwenye depots zaidi ya tatu nimekosa kabisa soda kwa ajili ya biashara.
Wenye depots hata wao hawajui adimiko la soda linatokana na nini, licha ya kwamba viwanda viko mkoa huu huu.
Kwa siku za karibuni tumeona mahisimu wa mama wakitoa kelele mbalimbali ili tu mama aonekane ameshindwa kusongesha jahazi.
Mahasimu hao wasije fanya hiana na michezo michafu kama ilivyoeahi kutokea awamu ya tano wafanyabiashara walipoficha sukari
gialiva nu nini ? au handbrake ?Jamaa mmoja kamuazima demu wake motokaa yake. Kesho yake anakuta "gialiva" ina kinyesi. Shenzy kabisa
Wazushi wanasema eti tatizo ni umeme... Kwani bia, Konyagi na K Vant viwanda vyake vinatumia mabetri?
Muda si mrefu utasikia Serengeti lite na Castle lite zimeadimika
Nashangaa eti watu wanalialia uhaba wa soda..... Yani soda??? Wajaribu kuchezea ulabu ndio watajua nguvu yetu...Hapa kwenye castle lite wajitahidi bana