pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Zipigwe marufuku tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo valuvaluSoda mpaka tugombee na kupigana vikumbo, fanta orange ndo kabisaaaaa
Kuna sauti imekuja Kwa kichwa..Wanajamvi Heri ya mwaka mpya.
Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
Ivi ile sukari ni ya kwake mwenyewe bakhresa au maana wiki iliyopita tani25 elfu za sukari zilishushwa pale bandarini na bakhresa ndie muhusika.......kuna mdau mmoja wa coca alisema sababu ya kukosekana kwa bidhaa yao sokoni ni usimamishaji wa uzalishaji sababu ya ukosefu wa sukari ambayo ilizuiliwa bandari