Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Maskini mnaanza kuleta visababu 😂Uzuri yote mnakalia kwa makalio..
Iwe la laki moja au Million 10..
Lizuri zaidi ya hiloLeta 200k nikutengenezee sofa kama hilo.
Wewe yote 6m Bakhresa ni kochi moja ndio 6m😂 nikukumbushe pia hayo makochi hayataki hewa ya kupitia dirishaniKumbe na mie tajiri asee. Nilinunua makochi milioni 6 kumbe niko level za Bakhresa upande wa vikalio sitting room!
I am proud of myself walahi!