Sofa la Mzee Bakhressa, unapata kiwanja kizuri huko Chanika, tuendelee kutafuta pesa

Hili ni sofa brand ya Lorenzo Leather ambalo kwa moja kama hilo ubaoni ni Sh. Milioni 5 na Laki 6 (5,645,000)

Kwa Mzee Bakhressa hiyo ni bei ya kawaida tu, ila kwangu mimi napata kabisa kiwanja Chanika huko.

Ukiwa na sebule kubwa ukihitaji kama manne basi andaa kuanzia Milioni 21 na kuendelea.

Tutafute hela kwa nguvu zote🤣🤣

View attachment 3060596
Aliye pembeni yake ni nani?
 
Na huo mtandio wa mjukuu wake je
 
Mpaka uone sofa la mtu ndipo akili ije ya kutafuta pesa

Pole sana

Akili ya kutafuta pesa inatakiwa iingie mapema bila hata kuona kitu cha mtu yeyote

Una pepo la umaskini nenda kwa Mwamposa akalitoe hilo pepo lako la umaskini
 
Hili ni sofa brand ya Lorenzo Leather ambalo kwa moja kama hilo ubaoni ni Sh. Milioni 5 na Laki 6 (5,645,000)

Kwa Mzee Bakhressa hiyo ni bei ya kawaida tu, ila kwangu mimi napata kabisa kiwanja Chanika huko.

Ukiwa na sebule kubwa ukihitaji kama manne basi andaa kuanzia Milioni 21 na kuendelea.

Tutafute hela kwa nguvu zote🤣🤣

View attachment 3060596
Unaijua gharama anayoilipa kwenye huo utajiri!!?

Utajiri ni siri na Siri ndio utajiri wenyewe!

Kuwa tajiri ni zaidi ya kutafuta pesa kikawaida kama wewe unavyozitafuta!!

Tusiwe tunalishana ujinga!
 
Tupe hiyo siri tajiri.
Pale Kenya wasomali ndio madon was mjini wenye kumiliki makampuni na biashara!huku kwetu ni jamaa zetu wenye asili ya Asia!

Kupanga ni kuchagua ndivyo tulivyopanga kwamba top ten ya matajiri bongo wawe wao huku kina Rama wa kariakoo wakijipiga risasi Kwa hujuma ambazo alishindwa ku deal nazo!!

Rip Ally mufruki, Reginald mengi na madon was kimatumbi waliotangulia!!!
Nenda kasome kitabu Cha mengi Cha I can I will I must!
 
Back
Top Bottom