Sofa la Mzee Bakhressa, unapata kiwanja kizuri huko Chanika, tuendelee kutafuta pesa

Hili ni sofa brand ya Lorenzo Leather ambalo kwa moja kama hilo ubaoni ni Sh. Milioni 5 na Laki 6 (5,645,000)

Kwa Mzee Bakhressa hiyo ni bei ya kawaida tu, ila kwangu mimi napata kabisa kiwanja Chanika huko.

Ukiwa na sebule kubwa ukihitaji kama manne basi andaa kuanzia Milioni 21 na kuendelea.

Tutafute hela kwa nguvu zote🤣🤣

View attachment 3060596
habari za tajiri muulize maskini.
 
Hahahakakasiohelaahioo zilebotizibapishana kama choon hazakee mmh
 
Bakhresa kweli amezeeka
 
Pale Kenya wasomali ndio madon was mjini wenye kumiliki makampuni na biashara!huku kwetu ni jamaa zetu wenye asili ya Asia!

Kupanga ni kuchagua ndivyo tulivyopanga kwamba top ten ya matajiri bongo wawe wao huku kina Rama wa kariakoo wakijipiga risasi Kwa hujuma ambazo alishindwa ku deal nazo!!

Rip Ally mufruki, Reginald mengi na madon was kimatumbi waliotangulia!!!
Nenda kasome kitabu Cha mengi Cha I can I will I must!
Elezea siri sio kuropoka
 
Hili ni sofa brand ya Lorenzo Leather ambalo kwa moja kama hilo ubaoni ni Sh. Milioni 5 na Laki 6 (5,645,000)

Kwa Mzee Bakhressa hiyo ni bei ya kawaida tu, ila kwangu mimi napata kabisa kiwanja Chanika huko.

Ukiwa na sebule kubwa ukihitaji kama manne basi andaa kuanzia Milioni 21 na kuendelea.

Tutafute hela kwa nguvu zote🤣🤣

View attachment 3060596
Keep moving, angalia mzee kakalia lorenzo katika umri gani
 
Back
Top Bottom