Sofa la Mzee Bakhressa, unapata kiwanja kizuri huko Chanika, tuendelee kutafuta pesa

Sofa la Mzee Bakhressa, unapata kiwanja kizuri huko Chanika, tuendelee kutafuta pesa

Hiyo kawaida tu.rais wetu yeye anavaa saa ya milioni miambili ambapo mfanyakazi kama mwalimu anapata Kwa miaka 30ya utumishi wake
Niamini mimi! Hakuna mwalimu anayechukua milioni 200 baada ya miaka 30 ya utumishi wake. Ungesema Mbunge, au CDF; ningekubali.
 
Sema life is not fair,mwengine anazaliwa mjukuu wa Bakherisa na wengine tunakuwa wajukuu wa wakulima.
Mwaka 1973 Bakhresa alikuwa fundi viatu pale mtaa wa Nkurumah kabla hajafungua mgahawa wake wa Azam pale mtaa wa Lumumba karibu na CCM. Hata wewe unaweza kubadilisha maisha yako kwa kuanza na shughuli za kipato cha chini.
 
Pale Kenya wasomali ndio madon was mjini wenye kumiliki makampuni na biashara!huku kwetu ni jamaa zetu wenye asili ya Asia!

Kupanga ni kuchagua ndivyo tulivyopanga kwamba top ten ya matajiri bongo wawe wao huku kina Rama wa kariakoo wakijipiga risasi Kwa hujuma ambazo alishindwa ku deal nazo!!

Rip Ally mufruki, Reginald mengi na madon was kimatumbi waliotangulia!!!
Nenda kasome kitabu Cha mengi Cha I can I will I must!
Ali mufruki RIP dah....umenikumbusha kitu

Ova
 
Ukiona masofa yanavyotengenezwa alafu unauziwa mamilion hata kutoa hela hyo utajifikiria
Ngoja hii picha nmtumie mwanangu wa mony centre mwenge najuwa anaweza akaitoa kama ilivyo na akaiuza kwa 2m

Ova
Ila Wabongo washenzi sana. Miaka kadhaa nyuma nilikuwa nasimamia ujenzi wa nyumba ya Kaka yangu

Siku moja fundi ujenzi ambaye pia ni fundi fanicha aliniomba siku mbili zinazofuata asiwepo kazini. Nikamuuliza kwa Nini? Akasema Huwa anapata kazi ya kutengeneza sofa hapo. Kwanza alisita baadaye akaniambia Kampuni Fulani maarufu ya kuuza sofa, ipo along Bagamoyo road.

Moja ya matangazo yao kwenye redio na Tv ni kuwa wanauza fanicha za kutoka Ulaya!
 
Back
Top Bottom