Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
habari za tajiri muulize maskini.Hili ni sofa brand ya Lorenzo Leather ambalo kwa moja kama hilo ubaoni ni Sh. Milioni 5 na Laki 6 (5,645,000)
Kwa Mzee Bakhressa hiyo ni bei ya kawaida tu, ila kwangu mimi napata kabisa kiwanja Chanika huko.
Ukiwa na sebule kubwa ukihitaji kama manne basi andaa kuanzia Milioni 21 na kuendelea.
Tutafute hela kwa nguvu zote🤣🤣
View attachment 3060596
Si kweliHead crown ya queen Elizabeth Ina thamani kushinda total assets zote za Said Salim Bakhressa
Bakhresa kweli amezeekaHili ni sofa brand ya Lorenzo Leather ambalo kwa moja kama hilo ubaoni ni Sh. Milioni 5 na Laki 6 (5,645,000)
Kwa Mzee Bakhressa hiyo ni bei ya kawaida tu, ila kwangu mimi napata kabisa kiwanja Chanika huko.
Ukiwa na sebule kubwa ukihitaji kama manne basi andaa kuanzia Milioni 21 na kuendelea.
Tutafute hela kwa nguvu zote🤣🤣
View attachment 3060596
maskini hatujawai kushindwa kujifariji, ist na bmw x6 zote zinafika posta, maskini siye, Yesu turehemu.Uzuri yote mnakalia kwa makalio..
Iwe la laki moja au Million 10..
Elezea siri sio kuropokaPale Kenya wasomali ndio madon was mjini wenye kumiliki makampuni na biashara!huku kwetu ni jamaa zetu wenye asili ya Asia!
Kupanga ni kuchagua ndivyo tulivyopanga kwamba top ten ya matajiri bongo wawe wao huku kina Rama wa kariakoo wakijipiga risasi Kwa hujuma ambazo alishindwa ku deal nazo!!
Rip Ally mufruki, Reginald mengi na madon was kimatumbi waliotangulia!!!
Nenda kasome kitabu Cha mengi Cha I can I will I must!
Almasi zetu hizo na lile kubwa Wahindi walimpa linaitwa Koh-i-Noor na la kwetu Africa walilibeba tangu 1911 linaitwa Cullinan 1 au The Great Star of AfricaHead crown ya queen Elizabeth Ina thamani kushinda total assets zote za Said Salim Bakhressa
Keep moving, angalia mzee kakalia lorenzo katika umri ganiHili ni sofa brand ya Lorenzo Leather ambalo kwa moja kama hilo ubaoni ni Sh. Milioni 5 na Laki 6 (5,645,000)