nON OF THE ABOVE. kama taifa stars inayumba yumba basi soka letu bado dogo saaaana Hivi vilabu sio vigezo vya soka letu kukua maana vina wachezaji karibia wote kutoka nje. sasa kama yanga kumshinda al merikh sio sifa ya kujivunia kukuwa kwa soka la nchi bali ni kulitangaza taifa letu ya kuwa na sissi wamo.
Taifa star ina qualified caf sio mafanikio au unatak mafanikio aende kombe la dunianON OF THE ABOVE. kama taifa stars inayumba yumba basi soka letu bado dogo saaaana Hivi vilabu sio vigezo vya soka letu kukua maana vina wachezaji karibia wote kutoka nje. sasa kama yanga kumshinda al merikh sio sifa ya kujivunia kukuwa kwa soka la nchi bali ni kulitangaza taifa letu ya kuwa na sissi wamo.
Manara amewekeza nini? Si kafungiwa na kwa Mara ya kwanza Yanga kafika fainali, Simba na Yanga zote zinaingia group stage?Kuna mchango wa Azam Media pia, bila kusahau watu kama Manara. Tunaelekea level zao kiushindani, kuanzia uwekezaji mpaka mafanikio.
Soon tutaanza kulipa mishahara ya milioni 50-100 kwa wachezaji, na italipa.
Imefuzu kwa kuunga unga sana....Ligi yetu ni kama ya Saudia, wachezaji wa kigeni ndio wanaibeba, na sio vipaji vyetu vya ndaniWe jamaa Upo wapi Taifa stars inayumba wakati ipo afcon mzee
Kuliko ligi ya DRC?Hawawekezi vya kutosha ligi zao ni dhaifu timu zenye misuli ya fedha ni chache kusini mwa jangwa la sahara Tanzania ni ligi ya pili kwa kulipa vizuri baada ya Africa kusini,angalia singida ina profesheno 12 sio wakuokoteza ni wa maana yule Rupia aliyefunga goli jana alikua mfungaji bora kenye msimu uliopita,kuna mnigeria kiungo pale kati kacheza ribo final caf cc akiwa na Rivers msimu uliopita hayo hayajatokea kwa bahati mbaya ukiona wachezaji wwnhe profile kubwa kama wakina kazadi,onyango,wawa,kagere,Gyan, wanang'ania kubaki bongo ujue hela ipo
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
thamani na ubora wa ligi yetu huwezi fananisha na DRC kwa sasa,top players wao wanaenda arabuni au Tanzania,.bingwa wao TP MAZEMBE kafungwa home and away na yanga,pia simba ya TZ kwa karibu miaka mitatu kacheza robo final,mazembe na vita hawajacheza..yanga kacheza final mazembe na vita sikumbuki mara ya mwisho wamecheza nusuKuliko ligi ya DRC?
Ni muda mfupi tu lakini,thamani na ubora wa ligi yetu huwezi fananisha na DRC kwa sasa,top players wao wanaenda arabuni au Tanzania,.bingwa wao TP MAZEMBE kafungwa home and away na yanga,pia simba ya TZ kwa karibu miaka mitatu kacheza robo final,mazembe na vita hawajacheza..yanga kacheza final mazembe na vita sikumbuki mara ya mwisho wamecheza nusu
Propaganda zipo kila sehemu, na zinatengeneza brand. Namna yake ya ushabiki tangu akiwa Simba na Sasa Yanga imeongeza hamasa katika soka.Manara amewekeza nini? Si kafungiwa na kwa Mara ya kwanza Yanga kafika fainali, Simba na Yanga zote zinaingia group stage?
Mnatukuza sana haya madomo kaya
Hivi Brand ya Simba na Yanga imekuzwa na Manara kweli?🤣🤣🤣Propaganda zipo kila sehemu, na zinatengeneza brand. Namna yake ya ushabiki tangu akiwa Simba na Sasa Yanga imeongeza hamasa katika soka.
Kama kuna anachovuna Manara katika soka, basi tambua kuna alichowekeza.
Brand haikuzwi na MTU mmoja.Hivi Brand ya Simba na Yanga imekuzwa na Manara kweli?🤣🤣🤣
Simba na Yanga zipo miaka na zina mashabiki wengi toka enzi, Manara kaja juzi ndio unasema kakuza brand?
Manara ndio kadandia umaarufu wa Simba na Yanga kujikuza, sio kuwa amezikuza...
Na makocha wa kigeni wanatuletea kitu, wameondoa/punguza uswahili na ufaza kwenye timu zetu.Hawawekezi vya kutosha ligi zao ni dhaifu timu zenye misuli ya fedha ni chache kusini mwa jangwa la sahara Tanzania ni ligi ya pili kwa kulipa vizuri baada ya Africa kusini,angalia singida ina profesheno 12 sio wakuokoteza ni wa maana yule Rupia aliyefunga goli jana alikua mfungaji bora kenye msimu uliopita,kuna mnigeria kiungo pale kati kacheza ribo final caf cc akiwa na Rivers msimu uliopita hayo hayajatokea kwa bahati mbaya ukiona wachezaji wwnhe profile kubwa kama wakina kazadi,onyango,wawa,kagere,Gyan, wanang'ania kubaki bongo ujue hela ipo
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Yes mkuu,kwa muda mfupi huu tumesogea sana,hofu yangu uwekezaji endelevu?au boss akinuna bakuli linatembeaNi muda mfupi tu lakini,
Radios karibu masaa 5 kwa siku ni habari za michezoBrand haikuzwi na MTU mmoja.
Tunaposemea mchango wa watu waliokuza mpira bongo, hatuwezi kuwaacha kina manara, wachambuzi, media, wawekezaji, TFF, serikali, nk... Hao wote kwa pamoja wamesaidia kunyanyunyua soka letu mpaka vilabu vyetu.
Usichoelewa nini?
Sio nisichoelewa, usichoelewa wewe ni kuwa watanzania wanapenda mpira tangia zamani, hawahitaji hamasa kuipenda Simba, au Yanga,Brand haikuzwi na MTU mmoja.
Tunaposemea mchango wa watu waliokuza mpira bongo, hatuwezi kuwaacha kina manara, wachambuzi, media, wawekezaji, TFF, serikali, nk... Hao wote kwa pamoja wamesaidia kunyanyunyua soka letu mpaka vilabu vyetu.
Usichoelewa nini?