Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Taifa Stars inayumbaje wakati ndo team pekee ya Taifa kutoka EA iliyofuzu Afcon!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Taifa Stars inayumbaje wakati ndo team pekee ya Taifa kutoka EA iliyofuzu Afcon!?
KabisaTumesogea kidogo si haba na tukienda kwa mwendo huu 2030 tutakua miongoni mwa wababe wa bara
Kwa miaka mingi sana vilabu kutoka Tanzania vimekua si lolote si chochote kwenye soka la Afrika mpaka pale Simba SC walipo kata utepe kwa ku Qualify Group stage, kwa umri wangu ndio mara ya kwanza niliona klabu ya Tanzania kuingia group stage licha ya kwamba miaka yote alikuwepo bingwa alie enda kushiriki
Baanda ya miaka kadhaa kwa Simba SC kuendelea kutamba huko kumataifa tumewaona Yanga Sc na wao waki anzisha utawala wao kiasi cha kutinga mpaka fainali shirikisho barani Africa
Msimu huu timu zote mbili zinawania tiketi ya kwenda clabu bingwa makundi, ila tayari Yanga kasha weka mtaji wa ushindi wa goli mbili igenini huku simba wao wakitoka sare na goli mbili za away
Kwa hesabu za kawaida ni kama Yanga amesha fuzu na simba wana zaidi ya nusu ya asilimia kufuzu makundio
Kwa mantiki hii kwa mara ya kwanza katika historia ya Afrika Tanzania inapeleka vilabu viwili makundi ya clabu bingwa Afrika,
Wengi wanachukulia wepesi hili jambo ila sio jambo la kuchukulia wepesi kabisa.
Hii ni zaidi ya achievement.
Swali ambalo nime jiuliza na kukosa majibu haya yanayo endelea ni kwasbabu ya kukua kwa soka la Tanzania au, soka la Afrika limeshuka so na watanzania wana serereka huko?
Kuna siku Yanga na Simba watakutana huko clabu bingwa kwenye mtoano, iwe robo au nusu, au fainali, na hapo ndio patakapo chimbika bila jembe.
Hamasa ilikuwepo tangia zamani, ishu ilikuwa ni uchumi, kampuni kama ya Bakhressa na Azam Tv, ambao kwa kiasi kikubwa ndio wamechangia havikuwepoMkuu, nafikiri wewe ndio una mtazamo wa Usimba na Uyanga. Labda ningetumia jina tofauti na Manara.
Swali unalopaswa kujiuliza ni kwanini hakujawahi kuwa na Uwekezaji mkubwa kama huu huko nyuma licha ya kuwa Ushabiki wa Yanga na Simba ulikuwepo?
Nimetaja watu kama Manara, ndani yake kuna wengi sana, nimetaja media ikiongozwa na Azam, ndani yake zipo mpaka online Tv, nimetaja wawekezaji sio wadhamini wa Timu na Ligi tu, bali pia hao wadau wengine wote wa mpira.
Why Uwekezaji Leo!? Jibu ni Kukua kwa Hamasa. Hii haikuzwi na wafadhili au Azam au Manara peke yake, ni mchango wa wengi sana.
Cha muhimu ni kujua, KUKUA KWA LIGI YETU HAKUNA FACTOR MOJA.
Kuna kitu hutaki kuelewa sababu ya hisia zako dhidi ya watu fulani.Sio nisichoelewa, usichoelewa wewe ni kuwa watanzania wanapenda mpira tangia zamani, hawahitaji hamasa kuipenda Simba, au Yanga,
ni Simba ikifanya vizuri kutokana na uwekezaji wake, na uwekezaji wa kampuni kama Azam, na mashabiki wanahamasika zaidi, hata Taifa Stars ni hivyo hivyo, haihitaji hamasa uchwara bali uwekezaji mzuri na uwanja wa Taifa unakua unajaa,
Hao wachambuzi uchwara na wapiga domo , mpira hauhitaji domodomo, ni hela na management nzuri....Dunia nzima, mpira ni uwekezaji na management nzuri
Kuna wafadhiri na wadhamini, wafadhiri ni wachache sana ila wadhamini ni wengi na wanafaidika na udhamini wao so usitegemee kuwa wataondoka.Uwekezaji umeongezeka maradufu kwenye soka la TZ.
Wafadhili wakiingia mtini soka letu litarejea kule kule kwa zamani.
Una maoni tofauti?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nyie ndio mna hisia za mahaba na hao waropokaji kiasi cha kuwapaisha kuwa eti ndio wameinua mpira wa Tanzania....kama wanaweza kuinua mpira kwa hamasa kwa nini walishindwa kufanya hamasa kwa Taifa Stars? Timu kongwe ikifanya vizuri lazima itapendwa tu sababu ina base ya mashabiki tangu zamaniKuna kitu hutaki kuelewa sababu ya hisia zako dhidi ya watu fulani.
Kama umefuatilia kwa makini sasa kuna kundi la watu ambao walikuwa hawaendi viwanjani au hawafuatilii sana michezo lakini wanaenda viwanjani na kushabikia sana michezo. E.g. wanawake, watoto na wazee jinsia zote.
Hii inatokana na hamasa za hao unao kataa hawana mchango ktk ukuaji huu wa ubora wa soka letu.
NB: Netumia neno michezo sababu pia ngumi nao Wana Anza kupanda juu kama soka.
Media zina mchango mkubwa sana. Na media zinategemea watu kama wachambuzi, wasemaji, wahamasishaji, waongoza vipindi, waandaaji wa vipindi, n.k.
Wadhamini wanajitokeza wanapoona wanaweza kujitangaza kupitia wafuatiliaji wa hao watu kwenye media na viwanjani.
Ibaki hivyo Mkuu!Hamasa ilikuwepo tangia zamani, ishu ilikuwa ni uchumi, kampuni kama ya Bakhressa na Azam Tv, ambao kwa kiasi kikubwa ndio wamechangia havikuwepo
Makampuni ya kamari kama Sportspesa na M bet, havikuwepo
Pia sera za TFF na serikali kubadilika na kuruhusu wachezaji wengi wa kigeni kusajiliwa tofauti na zamani,
Na usemi wa umekutana na timu dhaifu utaishia hapo hapoKwa miaka mingi sana vilabu kutoka Tanzania vimekua si lolote si chochote kwenye soka la Afrika mpaka pale Simba SC walipo kata utepe kwa ku Qualify Group stage, kwa umri wangu ndio mara ya kwanza niliona klabu ya Tanzania kuingia group stage licha ya kwamba miaka yote alikuwepo bingwa alie enda kushiriki
Baanda ya miaka kadhaa kwa Simba SC kuendelea kutamba huko kumataifa tumewaona Yanga Sc na wao waki anzisha utawala wao kiasi cha kutinga mpaka fainali shirikisho barani Africa
Msimu huu timu zote mbili zinawania tiketi ya kwenda clabu bingwa makundi, ila tayari Yanga kasha weka mtaji wa ushindi wa goli mbili igenini huku simba wao wakitoka sare na goli mbili za away
Kwa hesabu za kawaida ni kama Yanga amesha fuzu na simba wana zaidi ya nusu ya asilimia kufuzu makundio
Kwa mantiki hii kwa mara ya kwanza katika historia ya Afrika Tanzania inapeleka vilabu viwili makundi ya clabu bingwa Afrika,
Wengi wanachukulia wepesi hili jambo ila sio jambo la kuchukulia wepesi kabisa.
Hii ni zaidi ya achievement.
Swali ambalo nime jiuliza na kukosa majibu haya yanayo endelea ni kwasbabu ya kukua kwa soka la Tanzania au, soka la Afrika limeshuka so na watanzania wana serereka huko?
Kuna siku Yanga na Simba watakutana huko clabu bingwa kwenye mtoano, iwe robo au nusu, au fainali, na hapo ndio patakapo chimbika bila jembe.
Mleta Mada kachambua vizuri. Hata hivyo naomba nimsahihishe kidogo. Timu ya Kwanza kutoka Tanzania kucheza Makundi ya CAF Champions League ni Yanga, ilifanya hivyo mwaka 1998. Nakubaliana na wewe kuhusu uwekezaji ambao si endelevu kwani tumekuwa tukitegemea mtu badala ya Timu kuendeshwa kama Taasisi. Ndio maana kuana wakati kwenye mitandao huwa kunachafuka ukisikia Mo anasema bora awekeze kwenye Benki. Suala jingine nakubaliana kuwa kuna mchango wa Azam TV na makampuni mengine ya Azam kwenye promotion na uwezeshaji kwenye Ligi yetu.Yes mkuu,kwa muda mfupi huu tumesogea sana,hofu yangu uwekezaji endelevu?au boss akinuna bakuli linatembea
Mimi sioniWewe unaonaje?
Unafikiri Taifa Stars imefuzu AFCON kwa makosa au bahati pekee?Nyie ndio mna hisia za mahaba na hao waropokaji kiasi cha kuwapaisha kuwa eti ndio wameinua mpira wa Tanzania....kama wanaweza kuinua mpira kwa hamasa kwa nini walishindwa kufanya hamasa kwa Taifa Stars? Timu kongwe ikifanya vizuri lazima itapendwa tu sababu ina base ya mashabiki tangu zamani
Point yangu haikuwa hiyo, pointi yangu kwenye mfano wa Taifa stars nilitoa nj kuwa, hamasa huwa haisadii kama hakuna uwekezaji kwenye quality ya wachezaji, management na ufundi kiujumlaUnafikiri Taifa Stars imefuzu AFCON kwa makosa au bahati pekee?
Imefika pale kutokana na uzoefu au mafanikio yatokanayo na wachezaji toka klabu mbalimbali zinazofanya vizuri ambazo zimefaidika na hizo hamasa na kadhalika.
Hakukuwa na TV hata nikikusimulia hutoaminiKipindi hicho walifanya nini!?
Sihitaji video clip wala hadithi, weka namba mezani (Vikombe, Kufuzu n.k)Hakukuwa na TV hata nikikusimulia hutoamini
0+We naye zero kabisa.
He's too naive.