Soka la Zanzibar lina safari ndefu sana

Soka la Zanzibar lina safari ndefu sana

Ile ligi yao imeshindwa kwa Kila kitu na ndondo cup ya shafii dauda, alafu hizo porojo za kusema kule kuna vipaji kushinda Tanzania bara ni upuuzi tuu, kama Wana vipaji wachezaji wao mbona hatuwaoni wakifika mbali, hao waendelee kunywa urojo tuu
 
Ishu ya Kuaresma na Pasaka hutaki kuigusia au sio😂😂😂

Sasa nigusie kwa kipi? Wao ndio wameshajichagulia hio tatizo lako ni nini sasa? Christmas ndio sikuu kuu hasa ya wazungu, izo nyengine mumebaki nazo nyinyi waafrika wafia dini.
 
Back
Top Bottom