Soka letu lina uhaba sana wa wachezaji wa kiarabu je shida ni nini?

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,615
Reaction score
1,901
Nimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake,

Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya Azam, Simba na yanga au ni nini hasa?

Kipindi cha usajili kama hiki Simba na Yanga uzunguka huku na kule kutafuta wachezaji lakini zunguka yao huwa hawaingii Morocco, Tunisia, Algeria na hata Misri.

Kama ni uhaba wa fedha mbona hata huko misri wapo wachezaji wa bei rahisi na walioshiwa ambao ukiwaleta katika ligi yetu wanauhakika wakupata namba na kufanya vizuri.

Kuna wachezaji wapo benchi tu pale (Zamaleck, Wydad, pyramid na ahly,)

Na ninaamini kuwa mataifa ya kiarabu yamekua sana kisoka ukilinganisha na mataifa yetu haya ya kusini (ya Afrika nyeusi).

Je shida itakuwa wapi?.
Au ni ubaguzi wa kidini kisiasa na rangi?
 
Attachments

  • 1754293835927.jpg
    1754293835927.jpg
    196.6 KB · Views: 36
  • 1754293742114.jpg
    1754293742114.jpg
    286.9 KB · Views: 40
  • 1754293707278.jpg
    1754293707278.jpg
    528.1 KB · Views: 37
Hali ya hewa ukicombine na nature ya kazi, maana sekta zingine wapo wa kutosha
 
Itabidi tuwashawishi Wazawa kadhaa waweke curl nywele tupate Waarabu wetu....au watatokea Wasomali badala ya Waarabu,......mh.
 
Huu ndio ukweli.Timu ambayo kwenye ligi za kiarabu inaonekana ndogo bajeti yake unakuta ni sawa au zaidi ya bajeti ya timu pendwa za kariakoo.Angalia ile timu alikuwa anacheza Himid Mao utajua ukweli
Alaaaah, kumbe.
 
Nimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake,

Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya Azam, Simba na yanga au ni nini hasa?

Kipindi cha usajili kama hiki Simba na Yanga uzunguka huku na kule kutafuta wachezaji lakini zunguka yao huwa hawaingii Morocco, Tunisia, Algeria na hata Misri.

Kama ni uhaba wa fedha mbona hata huko misri wapo wachezaji wa bei rahisi na walioshiwa ambao ukiwaleta katika ligi yetu wanauhakika wakupata namba na kufanya vizuri.

Kuna wachezaji wapo benchi tu pale (Zamaleck, Wydad, pyramid na ahly,)

Na ninaamini kuwa mataifa ya kiarabu yamekua sana kisoka ukilinganisha na mataifa yetu haya ya kusini (ya Afrika nyeusi).

Je shida itakuwa wapi?.
Au ni ubaguzi wa kidini kisiasa na rangi?
1. Uchumi
2. Hali ya hewa
3. Tamaduni hasa vyakula
 
Ili wafanyaje la ziada?
 
Wavivu hawawez kucheza mech za E.Afrika
 
Simba ina historia na wachezaji wenye asili ya kiarabu toka zamani,mfano ni haidar abeid na khalid abeid.ama kuhusu wachezaji wanaoto ya hujuka nchi za kiarabu wengi huwa wanashindwa mazingira.Hata hivyo simba imemsajili mohamed bajaber ambae ni mkenya mwenye asili ya kisomali msimu huu
 
Nimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake,

Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya Azam, Simba na yanga au ni nini hasa?

Kipindi cha usajili kama hiki Simba na Yanga uzunguka huku na kule kutafuta wachezaji lakini zunguka yao huwa hawaingii Morocco, Tunisia, Algeria na hata Misri.

Kama ni uhaba wa fedha mbona hata huko misri wapo wachezaji wa bei rahisi na walioshiwa ambao ukiwaleta katika ligi yetu wanauhakika wakupata namba na kufanya vizuri.

Kuna wachezaji wapo benchi tu pale (Zamaleck, Wydad, pyramid na ahly,)

Na ninaamini kuwa mataifa ya kiarabu yamekua sana kisoka ukilinganisha na mataifa yetu haya ya kusini (ya Afrika nyeusi).

Je shida itakuwa wapi?.
Au ni ubaguzi wa kidini kisiasa na rangi?
Tatizo makafiri mmekataa NCHI KUSILIMISHWA
 
Malengo ya kila mchezaji wa kiarabu ni kucheza ulaya na ktk league kubwa kubwa.
 
Back
Top Bottom