Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,901
Unataka kuniambia mezmeziane wa CR beluzdad akija Simba au Yanga hatofanya vizuriHali ya hewa ukicombine na nature ya kazi, maana sekta zingine wapo wa kutosha
NdioUnataka kuniambia mezmeziane wa CR beluzdad akija Simba au Yanga hatofanya vizuri
Kwahiyo unataka kusema vilabu vyetu bado vipo chini kiuchumiNahisi Shida ni hela League zina hela zaidi
Huu ndio ukweli.Timu ambayo kwenye ligi za kiarabu inaonekana ndogo bajeti yake unakuta ni sawa au zaidi ya bajeti ya timu pendwa za kariakoo.Angalia ile timu alikuwa anacheza Himid Mao utajua ukweliKwahiyo unataka kusema vilabu vyetu bado vipo chini kiuchumi
Alaaaah, kumbe.Huu ndio ukweli.Timu ambayo kwenye ligi za kiarabu inaonekana ndogo bajeti yake unakuta ni sawa au zaidi ya bajeti ya timu pendwa za kariakoo.Angalia ile timu alikuwa anacheza Himid Mao utajua ukweli
1. UchumiNimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake,
Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya Azam, Simba na yanga au ni nini hasa?
Kipindi cha usajili kama hiki Simba na Yanga uzunguka huku na kule kutafuta wachezaji lakini zunguka yao huwa hawaingii Morocco, Tunisia, Algeria na hata Misri.
Kama ni uhaba wa fedha mbona hata huko misri wapo wachezaji wa bei rahisi na walioshiwa ambao ukiwaleta katika ligi yetu wanauhakika wakupata namba na kufanya vizuri.
Kuna wachezaji wapo benchi tu pale (Zamaleck, Wydad, pyramid na ahly,)
Na ninaamini kuwa mataifa ya kiarabu yamekua sana kisoka ukilinganisha na mataifa yetu haya ya kusini (ya Afrika nyeusi).
Je shida itakuwa wapi?.
Au ni ubaguzi wa kidini kisiasa na rangi?
Ili wafanyaje la ziada?Nimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake,
Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya Azam, Simba na yanga au ni nini hasa?
Kipindi cha usajili kama hiki Simba na Yanga uzunguka huku na kule kutafuta wachezaji lakini zunguka yao huwa hawaingii Morocco, Tunisia, Algeria na hata Misri.
Kama ni uhaba wa fedha mbona hata huko misri wapo wachezaji wa bei rahisi na walioshiwa ambao ukiwaleta katika ligi yetu wanauhakika wakupata namba na kufanya vizuri.
Kuna wachezaji wapo benchi tu pale (Zamaleck, Wydad, pyramid na ahly,)
Na ninaamini kuwa mataifa ya kiarabu yamekua sana kisoka ukilinganisha na mataifa yetu haya ya kusini (ya Afrika nyeusi).
Je shida itakuwa wapi?.
Au ni ubaguzi wa kidini kisiasa na rangi?
Wavivu hawawez kucheza mech za E.AfrikaNimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake,
Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya Azam, Simba na yanga au ni nini hasa?
Kipindi cha usajili kama hiki Simba na Yanga uzunguka huku na kule kutafuta wachezaji lakini zunguka yao huwa hawaingii Morocco, Tunisia, Algeria na hata Misri.
Kama ni uhaba wa fedha mbona hata huko misri wapo wachezaji wa bei rahisi na walioshiwa ambao ukiwaleta katika ligi yetu wanauhakika wakupata namba na kufanya vizuri.
Kuna wachezaji wapo benchi tu pale (Zamaleck, Wydad, pyramid na ahly,)
Na ninaamini kuwa mataifa ya kiarabu yamekua sana kisoka ukilinganisha na mataifa yetu haya ya kusini (ya Afrika nyeusi).
Je shida itakuwa wapi?.
Au ni ubaguzi wa kidini kisiasa na rangi?
Mbona ndio wamekuwa wakitubuluza kwenye michuano mikubwaWavivu hawawez kucheza mech za E.Afrika
Si kuna hata akina ikangalomboMishahara yetu midogo kuliko ya timu
Za kwao
Tatizo makafiri mmekataa NCHI KUSILIMISHWANimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake,
Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya Azam, Simba na yanga au ni nini hasa?
Kipindi cha usajili kama hiki Simba na Yanga uzunguka huku na kule kutafuta wachezaji lakini zunguka yao huwa hawaingii Morocco, Tunisia, Algeria na hata Misri.
Kama ni uhaba wa fedha mbona hata huko misri wapo wachezaji wa bei rahisi na walioshiwa ambao ukiwaleta katika ligi yetu wanauhakika wakupata namba na kufanya vizuri.
Kuna wachezaji wapo benchi tu pale (Zamaleck, Wydad, pyramid na ahly,)
Na ninaamini kuwa mataifa ya kiarabu yamekua sana kisoka ukilinganisha na mataifa yetu haya ya kusini (ya Afrika nyeusi).
Je shida itakuwa wapi?.
Au ni ubaguzi wa kidini kisiasa na rangi?
Hilo ndio Jibu wao pesa ipo na hata league zao zipo juuuUnataka kuniambia mezmeziane wa CR beluzdad akija Simba au Yanga hatofanya vizuri