Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Ukitaka kufaidi hizo hisa ununue za at least za 20m ndio utahisi kweli unakula dividends, mfano nilikua na hisa za 3m za nmb nikawa napata gawio la 100,000-150,000 kwa mwaka nikaona ni ujinga nikaziuzia mbali.:banghead:🙁😱
Ingekuwa una hisa za bilion 3 je? Uzuri wa hizi mambo zinahitaji mtaji mkubwa. Ndo utazifurahia sana.
Nakusanya mtaji niingie kwa nguvu zote.