Ukitaka kufaidi hizo hisa ununue za at least za 20m ndio utahisi kweli unakula dividends, mfano nilikua na hisa za 3m za nmb nikawa napata gawio la 100,000-150,000 kwa mwaka nikaona ni ujinga nikaziuzia mbali.:banghead:🙁😱
Ingekuwa una hisa za bilion 3 je? Uzuri wa hizi mambo zinahitaji mtaji mkubwa. Ndo utazifurahia sana.
Nakusanya mtaji niingie kwa nguvu zote.
nakubaliana nawewe najua kwa asilimia mia, nilinunua hisa za swiss mwezi wa pili mwaka huu kwa sh 5600 lakini leo ni 6600. Wiki ijayo naenda kuuza hisa zangu zote za DCB, CRDB na NMB then nahamia SWISS mzima mzima
nafikiri watu hawana iwani na management za wabongo tuanzie hapo maana Nicol , Precision, swala nafikiri kuna watanzania pia, DCB, alafu inawezekana pia hawatoi dividends za nzuriIt is just a matter of time mate... Believe me when I say CRDB is undervalued by the market... Time will tell
Ingekuwa una hisa za bilion 3 je? Uzuri wa hizi mambo zinahitaji mtaji mkubwa. Ndo utazifurahia sana.
Nakusanya mtaji niingie kwa nguvu zote.
Kuna zile taratibu za kimahakama , mambo ya wasimamizi wa mirathi inabidi zifuatwe sababu ni mali kama mali nyingine tuSamahan sasa kama imetokea mtu amefariki na alikuwa na hisa na hakuacha mrithi kwa maandishi inakuwaje kuhusu kupata hizi hisa??
Hivi unaponunua kuna amount yoyote unayomlipa broker? au unatoa kiasi kile kile ambacho ni thamani ya hisa?[/QUOT
unampatia kiasi cha asilimia 1 mpaka 2 kutokana na kiwango cha pesa au manunuzi unayofanya.kuna document moja ya dse nimeattach ina maelezo mengi sana kuhusu hisa na dse
Kuna zile taratibu za kimahakama , mambo ya wasimamizi wa mirathi inabidi zifuatwe sababu ni mali kama mali nyingine tu
Nenda DSE kuna mawakala ambao watakupa ushauri mzuri sana hasa kwa wale beginers kama wewe. Hao mawakala wanajua trends za hisa kwa wakati husika...
asante kwa ushauri mkuu,ila nipo Arusha kwa sasa
mkuu, kampuni nzuri ni kampuni za bia, sigara, cementi na swissport ila changamoto zake ni kuwa hisa zake hazishikiki/ bei ya juu kuanzia elfu 5 au 4 na kupanda juu...