Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

Mjomba fuatilia huenda kuna mkwanja wako mzuri, sina uhakika lakini kama kampuni iliuzwa haki zako ziko pale pale, na biashara ya hisa, partner wako mkubwa huwa ni TIME,yani kuvumilia owa muda mrefu kila fluctuation zinapotokea unaji adjust kuuza na kununua.

Huenda kampuni ilibadilishwa jina na iko listed DSE i bet huenda ukawa hata na viMillioni kadhaa, kama hisa zilifika 800 hadi 1500.

Tenga muda ibuka na documents NMB(kwa wakala wako). Pia cheki mtandaoni kampuni ile iliendeleaje
 
Je kuna malipo yoyote kabla ya kuwekeza wakati wa registration?

Ni gharama zipi unazotakiwa kuingia kabla ya kuanza kununua his a?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunafunga Gps car tracking system kwa siri ili kuzingatia ulinzi na kujua mwenendo wa gari , bajaji, pikipiki yako kwa bei nafuu.
Tupo Dar Es Salaam na pia kwa mikoani tuna mawakala wetu.

Kuona speed
Kuona Sehem gari/bajaji/pikipiki yako ilipo
Kuizima na kuiwasha
Kujua routes
Kuipigia sim na kupigiwa sim
Geo fance
Engine status etc.

Pia tunafunga kujua mwenendo wa mafuta

Piga 0766003375
 
Habari wanajamvi....?
Hii ni habari njema kwa wafanya biashara wenye maduka makubwa,kati na madogo yenye uhitaji.

Kampuni yetu pendwa ya NEXIS tunapenda kuwataarifu kuwa tunawakaribisha ili muweze kununua software system kwa gharama rafiki ambayo itaweza kukusaidia kufanya record ya mahesabu kwenye mauzo ya duka lako pasipo na usumbufu na kuweza kukupa mahesabu sahihi ya stock yako iliyopo kwenye duka lako, yaani itakusaidia kujua total ya mauzo yaliyofanyika kwa siku na pia inakuwezesha kujua stock iliyobakia kupitia computer yako iliyopo ofisini vile vile tunaweza kukuunganisha direct kupitia smart phone yako.

PoS system ni program yenye ubora zaidi na ni program rafiki kwa mfanya biashara kujua stock ya biashara yako kwa ujumla.

nachukua fursa hii kuwakaribisha sana
kwa mawasiliamo zaidi piga 0692449416
 
Napendekeza kungekuwa na video ya haya maelekezo ingekuwa powa sanaaa
 
Haya hisa waweza nunua kwa simu sasa kazi kwenu
 
Nahitaji kuuza au kuswap hisa zangu za Voda na TBL. Is there anyone in here who can advise nifanyeje?!
 
Nahitaji kuuza au kuswap hisa zangu za Voda na TBL. Is there anyone in here who can advise nifanyeje?!
Unahitaji kuuza kwanza za voda kisha ununue za TBL..unaweza kumtebelea dalali wa soko la hisa au jisajili katika mfumo wa DSE hisa kiganjani kufanya miamalla hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…