Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

Gawio halitolewi, kampuni ina hasara, na mahesabu yao hayaeleweki (hayatolewi kwa wakati) mpaka BODI imepigwa mkwara na CMSA. Sasa issue ipo kwa wale wanaotaka kuuza hisa zao DSE, kwani kibali kinachoruhusu kampuni kufanya biashara huko kimezuiwa
Kwahiyo bora UTT
 
Wakuu Kuna aliyefanikiwa kuuza hisa kupitia dse hisa kiganjani?

Unfortunately nimewatumia email dse ni wapo kimya tu
 
Yaani tuliingizwa kingi kama sio kuelekezwa kibra. Hela yangu inaniuma sana...sitaki kusikia ushuzi wa hisa kisa hawa wajinga
Pole sana kiongozi. Umakini ni muhimu sana kwenye haya mambo.
 
Nilienda kuuza hisa zangu za tbl nikaambiwa hazinunuliwi tangu mwaka 2019 mpka mwaka huu wanadai eti Bei za kuuza zipo naweza kupata mtu wa kumuuzia hapa
 

Kaka umeongea vyema...weng wanajua hisa n Kupata faida tuuuu ... nikiwemo mm kumbe kuna namna hapoo
 
Ni sifa zipi mtu anatakiwa kuwa nazo ili kuwa dalali wa soko la hisa?
 
Yaani tuliingizwa kingi kama sio kuelekezwa kibra. Hela yangu inaniuma sana...sitaki kusikia ushuzi wa hisa kisa hawa wajinga
Hisa ziko vizuri tuu mkuu,sema umebanwa na shida sasa mali haiuziki unavyotaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…