Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

Kaeleza mwanzo!
 
Dah katika kitu inaniuma ni hisa zangu Vodacom jamaa hawapo fair kabisa Kwa wanahisa wao
 
Hello guys,

Nimefanikiwa kufungua kampuni na ku raise 100mil kama mtaji wa kuagiza mzigo.

Changamoto niliyo nayo ni Demand ni kubwa kuliko supply.

Naitaji investors wa kuwauzia hisa za kampuni.

Kampuni imesajiliwa na inavibali vyote na pia inafanya Biashara na kampuni ya Kijerumani


Naomba msaada na ushauri ni namna gani naweza kupata watu wa kuwekeze

Target yangu ni ku raise 260,000,000 kwa jili ya kuongeza invetory.

Wako katika ujenzi wa Taifa.
 
Hello guys,

Nimefanikiwa kufungua kampuni na ku raise 100mil kama mtaji wa kuagiza mzigo.

Changamoto niliyo nayo ni Demand ni kubwa kuliko supply.
Hizo mbinu ulizotumia ku-raise hizo 100m huwezi kuzitumia tena kuraise 160m ?
Naitaji investors wa kuwauzia hisa za kampuni.

Kampuni imesajiliwa na inavibali vyote na pia inafanya Biashara na kampuni ya Kijerumani
Kwahio unahitaji procedure za kuuza hisa au procedure unazo na ushaanza mchakato na unataka watu wa kuwapa hizo Hisa ?, Hapo swali litakuja Hisa unauzaje na kampuni yako ipo valued kiasi gani
Naomba msaada na ushauri ni namna gani naweza kupata watu wa kuwekeze

Target yangu ni ku raise 260,000,000 kwa jili ya kuongeza invetory.

Wako katika ujenzi wa Taifa.
Kwanini usiongee na hao wanao-kusupply mzigo uweze kupata mzigo kwa kuweka percent fulani ya pesa ? Au nenda benki na letter of credit kwamba tayari una soko unataka tu mtaji wa kuleta mzigo ? , By the way unajuaje kama mzigo upo bandarini haujatoka na wengine wakaona chimbo lako hence kuingiza mzigo sokoni na hio targeted price kushuka ? In short hapa unachouza ni connection / Wateja wa huo mzigo wako ? Ushauri hao suppliers wako ongea nao ndio wawe partners wako
 
Asante Ndugu kwa ushauri,

Kwa Upande wa Bank wanataka cashflow ya Miezi6 nimesha enda Tanzania Investment Bank (TIB), wakaniambia wana fund Viwanda na sio Trading company.

Kwa upande wa supplier wamesema mpka baada ya mwaka1 ndo wanaweza kunitumia mzigo na kulipia kidogo kidogo.

Ndugu nimezunguka sana nimesha pigwa na jua sana mpaka kuipata hiyo ela ya startup.

Watanzania hawamini kwenye startup investment, watu wako wazi waweke ela Bank zikae tu.

Kuna Mda natamani angekuwa hai Marehemu Mzee Mengi, ningekuwa nsha toboa mda sana. Maana nimekuwa kwenye hii industry for 6years as a Managing Director.
 
Hiyo 260mil ni kwajili ya Invetory ambayo naweza toboa nayo kwa muda wa miezi 5.
 
 
Kuna Mda natamani angekuwa hai Marehemu Mzee Mengi, ningekuwa nsha toboa mda sana. Maana nimekuwa kwenye hii industry for 6years as a Managing Director.
Ulikuwa unamfahamu ? Kwamba angekupa ? Binafsi sikumjua ila ninajua wahasibu kutoa kwao pesa sio lelemama pia binadamu walivyo kuwa macho sana unaweza kuwapelekea proposal na kuwaonyesha chimbo wakaanza kujiuliza kwanini wanakuhitaji wewe wakakupiga chini na kuendelea pale ulipoishia wewe sometimes ni better uendelee wewe polepole na kujiongeza kuliko kuingia wawekezaji ambao wanakuja na headaches...
 
True Bro, ila kwa upande wangu nimesha jidhatiti kwa hili kwani na Mikataba ni vigumi sana mtu kunipiga Chini. Mpaka hapa nilipo fikia hayo yamesha nikuta sana nimesha piga dili na watu tofauti na nikambulia patupu, But hainikatishi tamaa, Naamini Mti wenye Matunda haukosi kutupiwa nawe, Na saa nyengine Mungu anakupa Mafundisho kwa Kupitia Binadamu wenzako. Ndugu i have been a lot aisee. Mafanikio ni Vita. So am prepared for anything ila i won't give up till my last breath [emoji1432]
 
Hapo juu nilikwambia cheki kuhusu letter of Credit (Sio Loan per Se) bali letter of Credit sababu kama wateja unao na wana uhakika kwamba mzigo ukifika unalipwa Benki au financial institution inakuwa haijarisk sana...

 
Hii nini wakuu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ninazo hisa nilinunua yetu microfinance tangu 2018 mpaka sasa nataka kuziuza niende kampuni gani msaada
 
Wadau Kuna mtu hapa alinunua hisa za NMB mwaka 2015 ....Sasa anataka hela yake
Changamoto kikadi amepoteza,jina la broker amesahau....anasiikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…