Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

Hivi hawa TOL bado wapo hai ama? kampuni ya awali kabisa kwenye hili suala la kuuza hisa.
 
Also kama ni beginner jarib kunuua hisa kwenye mutual funds like umoja trust fund coz risk inakua ndogo..the most important thing ni kuona thamani au bei ya hisa za kampuni husika inapanda hapo ndo unaeza kuamua kuuza na kupata faida..eg nmb kipindi wanaissue share zao kwa mara ya kwanza(IPO) bei ilikua TZS 150 then kuna kipindi nikaskia imefika TZS 500....its a good business but risky..kama umefatilia news this week wanasema masoko ya hisa uko Asia yamedrop that means people getting loses..all the best!
sometime life need us to take risk..
 
Remember to invest the amount of money which you can afford to loose.
Bei ya hisa huwa dictated na forces of supply and demand. Kwa hivyo wauzaji wa hisa wakiwa wengi kuliko wanunuzi basi bei hushuka, and the vice versa is true.
Kwa sasa soko la hisa la dar es salaam investors ni wachache, na kinyume chake speculators ni wengi.
more clarification about speculator please..
 
Mkuu kuna kipindi cha mzee mkapa mwanzoni kabisa kama sikosei kuliibuka kampumi moja wakaita NICO. Hii kampuni ilianzishwa wakaipromot kama ni ya serikali.

Kipindi hicho mzee ruksa ndio amestaafu. Nakumbuka siku anaenda kununua hisa kwenye hiyo kampuni wakaipa promo ile kununua hisa kwa mzee. Kweli mzee alionekana pale ananunua hisa kama za milioni 10 kama sikosei. Nakumbuka alimnunulia na mtoto wake.

Nikahamasika sana mimi na jamaa yangu. Tukaingia bank NMB,tulanunua hisa za laki 2,2 kila mmoja. Kuanzia hapo sijawahi kupewa gawio wala kujulishwa kinachoendelea. Nifanyeje ili kupata haki yangu. Kuanzia kipindi hicho mpaka sasa wanipe nilichopanda ma kuvuna
 
Mkuu kuna kipindi cha mzee mkapa mwanzoni kabisa kama sikosei kuliibuka kampumi moja wakaita NICO. Hii kampuni ilianzishwa wakaipromot kama ni ya serikali. Kipindi hicho mzee ruksa ndio amestaafu. Nakumbuka siku anaenda kununua hisa kwenye hiyo kampuni wakaipa promo ile kununua hisa kwa mzee. Kweli mzee alionekana pale ananunua hisa kama za milioni 10 kama sikosei. Nakumbuka alimnunulia na mtoto wake. Nikahamasika sana mimi na jamaa yangu. Tukaingia bank NMB,tulanunua hisa za laki 2,2 kila mmoja. Kuanzia hapo sijawahi kupewa gawio wala kujulishwa kinachoendelea. Nifanyeje ili kupata haki yangu. Kuanzia kipindi hicho mpaka sasa wanipe nilichopanda ma kuvuna

Habar yako mkuu!
Ili kuweza kupata msaada Bado Kuna details zifuatazo zinahitajika

1.Uliponunua hizo hisa Bei yake ilikuwa shilingi ngapi kila hisa moja?

2.Na baada ya kununua hizo hisa ulifuatilia bei zake kujua Kama zimepanda au zimeshuka hadi kufikia Sasa?

3.Wakati unanunua hizo hisa agent wako alikuwa nani?agent wako ndio anasimamia kukuuzia hisa zako,au kukununulia hisa ukitaka kuziongeza na yeye ndio mwakilishi wako kule DSE.

4.Uliponunua hizo hisa ulipewa cheti Cha kuonesha kuwa ulinunua hisa na je hicho cheti Bado unacho?

Ukiweza kujibu haya maswali unaweza kusaidika hilo Jambo lako.
 
Awali ya yote nikushukuru sana ndugu kwa kuonyesha nia ya kunisaidia mkuu.

1. Hizi hisa tulihamashishwa watu wengi sana kuzinunua,tukihamanishwa na hii kampuni itakuwa mkombozi kwa masikini.

Hivi unafikiri ni wananchi wangapi wanazo hizo dietarils?. Maana waelewa wa hayo walikuwa wachache sana. Kwa maana hiyo mpaka hapo watakuwa wanenyang'anywa wengi hizo hela mkuu?. (Sorry kwa haya, nawakirisha na wengine mkuu)

2. Wakati wa kununua hatukuambiwa tutunze hizo ditelies.
NILIVYO NAVYO MPAKA SASA.

1. Sikumbuki vizuri hisa zilikuwa kiasi gani?. (Kitu kama 1000@). Ila ilikuwa ni wakati wanaanza tu hiyo kampuni ya NICO.

2. Sijawahi kufuatilia hisa kama zimepanda au kushuka.

3. Wakati nanunua agent wangu alikuwa NMB bank,na ndio niliponunulia

4. Niliponunua hizo hisa nilipewa kicard ndio,mpaka leo nimekitunza.
=Nilinunua hisa za laki 2 kipindi hicho wanaanza tu,miaka mingi
=Nikushukuru sana mkuu kwa kuonyesha nia ya kunisaidia.
 
Awali ya yote nikushukuru sana ndugu kwa kuonyesha nia ya kunisaidia mkuu.
1. Hizi hisa tulihamashishwa watu wengi sana kuzinunua,tukihamanishwa na hii kampuni itakuwa mkombozi kwa masikini. Hivi unafikiri ni wananchi wangapi wanazo hizo dietarils?. Maana waelewa wa hayo walikuwa wachache sana. Kwa maana hiyo mpaka hapo watakuwa wanenyang'anywa wengi hizo hela mkuu?. (Sorry kwa haya,nawakirisha na wengine mkuu)
2. Wakati wa kununua hatukuambiwa tutunze hizo ditelies.
NILIVYO NAVYO MPAKA SASA.
1. Sikumbuki vizuri hisa zilikuwa kiasi gani?. (Kitu kama 1000@). Ila ilikuwa ni wakati wanaanza tu hiyo kampuni ya NICO.
2. Sijawahi kufuatilia hisa kama zimepanda au kushuka.
3. Wakati nanunua agent wangu alikuwa NMB bank,na ndio niliponunulia
4. Niliponunua hizo hisa nilipewa kicard ndio,mpaka leo nimekitunza.
=Nilinunua hisa za laki 2 kipindi hicho wanaanza tu,miaka mingi
=Nikushukuru sana mkuu kwa kuonyesha nia ya kunisaidia.
Mkuu kwa hapo ishu inakuwa ni ngumu sana kwa sababu details nyingi huna.
Lakini nisikuvunje moyo nenda hapo nmb uwadodose na uwaelezeuata5e pengine watakupa njia za kufanya.
 
Details kama zipi mkuu?.
 
Any way nao ni uwizi tu kama uwizi mwingine, unyang'anyi mwingine, ujambazi uporaji, ukabaji
 
Details kama zipi mkuu?.
Details zile nilizokuuliza mwanzoni nyingi hauna Sasa utaziuzaje hisa zako Kama cheti hauna?Kumbuka unaponunua hisa mara nyingi huwa tunasubiria Bei zipande Kisha tunaziuza na kupata faida
.
Na pia kampuni inapopata faida huwa wanatoa gawio lakini hii sio lazima kampuni watoe gawio kila mwaka inategemea na kampuni imeingiza faida kiasi gani kwa mwaka husika.
 
Details zile nilizokuuliza mwanzoni nyingi hauna Sasa utaziuzaje hisa zako Kama cheti hauna?Kumbuka unaponunua hisa mara nyingi huwa tunasubiria Bei zipande Kisha tunaziuza na kupata faida.
Na pia kampuni inapopata faida huwa wanatoa gawio lakini hii sio lazima kampuni watoe gawio kila mwaka inategemea na kampuni imeingiza faida kiasi gani kwa mwaka husika.
Cheti nafikiri nafikiri ninacho mkuu. Niko safari nikirudi home naenda kuanza nacho nifanyie kazi. Kuna uwezekano mjinga mmoja anatafuna hela zangu.

Halafu sikuwa peke yangu wakati wa kununua ujue. Karibu wote karibu wote wamekata tamaa na hiyo ndude
 
Cheti nafikiri nafikiri ninacho mkuu. Niko safari nikirudi home naenda kuanza nacho nifanyie kazi. Kuna uwezekano mjinga mmoja anatafuna hela zangu. Halafu sikuwa peke yangu wakati wa kununua ujue. Karibu wote karibu wote wamekata tamaa na hiyo ndude
Imepita miaka mingapi tangu ununue?
Lakini tatizo kubwa liko upande wenu,mlinunua hisa bila kupata elimu ya kutosha kuhusu hisa.

Unaponunua hisa inahitaji ufuatiliaji wa mara kwa mara,yaani lazima ujue trends zinaendaje wakati wote ndio utafaidika.

Inafanana Kama watu wanaocheza ile sports betting ili washinde na kupata pesa wanatakiwa muda wote kufuatilia trends/history za timu mbalimbali ili ajue sehemu sahihi ya kuweka pesa yake.
 
Sasa kwa nini wasitoe elimu? Ksbb watu wanaingiza pesa zao?. Au ndio kama vile ilivyo kawaida ukitaka kumtawala mtu usimpe elimu? Walilenga kutuibia sio?
 
NICO,NICO,NICO
 
No ninaposema elimu sio lazima wakukalishe darasani wakupe lecture bali ni wewe mwenyewe kuwa na hamasa ya kujua mambo yanayohusiana na hisa.

Kwa mfano Mimi mwenyewe nilikuwa sijui chochote kuhusu hisa.

Lakini mwaka jana nikatamani na Mimi kununua hisa, kwa hiyo nilichofanya nikaulizia alipo wakala na nikampata wakala tena kwa njia ya mtandao na si kwa kumuona physically coz kipindi kile nilikuwa mkoani kikazi na mawakala wapo Dar es salaam tu.

Nikawasiliana naye wakala kwa simu na akanielekeza jinsi ya kulipia hela benki Hadi kumfikia yeye.

Lakini kabla ya kulipia pesa nilihakikisha namuuliza maswali mbalimbali kuhusu hisa na nikamuona anipe analysis yake pamoja na speculation yake kwa kipindi hiki ni kampuni zipi zina probarbility kubwa ya hisa zake kupanda thamani,wakanitajia hizo kampuni zinazofanya vema kwa muda huo na Kisha wakanichagulia moja ambayo ni best option na wakanipa sababu kwa nini niichague hiyo.
Kwa hiyo nikawa nimepata mwangaza kuhusu hisa kwa staili hiyo.

Baada ya hapo nikaenda kulipia benki Kisha nikatumiwa cheti changu.
Nikafuatilia trend kwa muda karibu mwaka mmoja nikaona soko ni gumu bei hazipandi.

Baada ya hapo nikaenda kuziuza nikarudisha pesa yangu ya mtaji Kama ilivyo nikaenda kufanyia vitu vingine.

Kwa hiyo hivi ndivyo ilivyo, siku nyingine usipende kuweka pesa kwenye sehemu ambayo huna elimu nayo eti kwa sababu umeona wengine wameweka.
 
No ninaposema elimu sio lazima wakukalishe darasani wakupe lecture bali ni wewe mwenyewe kuwa na hamasa ya kujua mambo yanayohusiana na hisa.
Kwa mfano Mimi mwenyewe nilikuwa sijui chochote kuhusu hisa.
Lakini mwaka jana nikatamani na Mimi kununua hisa,kwa hiyo nilichofanya nikaulizia alipo wakala na nikampata wakala tena kwa njia ya mtandao na si kwa kumuona physically coz kipindi kile nilikuwa mkoani kikazi na mawakala wapo Dar es salaam tu.
Nikawasiliana naye wakala kwa simu na akanielekeza jinsi ya kulipia hela benki Hadi kumfikia yeye.
Lakini kabla ya kulipia pesa nilihakikisha namuuliza maswali mbalimbali kuhusu hisa na nikamuona anipe analysis yake pamoja na speculation yake kwa kipindi hiki ni kampuni zipi zina probarbility kubwa ya hisa zake kupanda thamani,wakanitajia hizo kampuni zinazofanya vema kwa muda huo na Kisha wakanichagulia moja ambayo ni best option na wakanipa sababu kwa nini niichague hiyo.
Kwa hiyo nikawa nimepata mwangaza kuhusu hisa kwa staili hiyo.
Baada ya hapo nikaenda kulipia benki Kisha nikatumiwa cheti changu.
Nikafuatilia trend kwa muda karibu mwaka mmoja nikaona soko ni gumu bei hazipandi.
Baada ya hapo nikaenda kuziuza nikarudisha pesa yangu ya mtaji Kama ilivyo nikaenda kufanyia vitu vingine.
Kwa hiyo hivi ndivyo ilivyo,siku nyingine usipende kuweka pesa kwenye sehemu ambayo huna elimu nayo eti kwa sababu umeona wengine wameweka.
Ok poa mkuu,kipindi hicho umri ulichangia
 
Back
Top Bottom