S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,559 Reaction score 19,101 Jul 13, 2021 #381 Kuna watu wangekua victimized. Wangewekwa ndani kinyume na sheria hata wasiohusika! Utawala wa sheria ilikua ni msamiati mgumu sana kipindi kile
Kuna watu wangekua victimized. Wangewekwa ndani kinyume na sheria hata wasiohusika! Utawala wa sheria ilikua ni msamiati mgumu sana kipindi kile
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,504 Reaction score 35,520 Jul 13, 2021 #382 Mwamba angekuwepo Ungesikia yaani zimamoto mnaenda halafu hamna maji sasa tumbukieni nyie mpaka moto uzime
Mwamba angekuwepo Ungesikia yaani zimamoto mnaenda halafu hamna maji sasa tumbukieni nyie mpaka moto uzime
Abby Newton JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 1,252 Reaction score 2,253 Jul 13, 2021 #383 Inhiiiiiiiiiiii! Lazima nilale na mtu mbereee
R road master JF-Expert Member Joined Jun 11, 2020 Posts 2,064 Reaction score 3,021 Jul 13, 2021 #384 SIPIYU30 said: Unadhani JPM angekuwa hai, unadhani angelishughulikia vipi sakata la kuungua soko la Kariakoo? Click to expand... Hana lolote hana jioya
SIPIYU30 said: Unadhani JPM angekuwa hai, unadhani angelishughulikia vipi sakata la kuungua soko la Kariakoo? Click to expand... Hana lolote hana jioya
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Sep 21, 2021 #385 Ni zaidi ya miezi miwili sasa tangu Majaliwa alipoamrisha ripoti ya moto sokoni Kariakoo uliotokea July 10th iwe tayari baada ya siku saba.
Ni zaidi ya miezi miwili sasa tangu Majaliwa alipoamrisha ripoti ya moto sokoni Kariakoo uliotokea July 10th iwe tayari baada ya siku saba.
IKUNGURU IJIRU CHUKU JF-Expert Member Joined Feb 27, 2021 Posts 484 Reaction score 545 Sep 22, 2021 #386 Vingi ALISEMA na kutoa MDA. Utakua Hilo soko. Juzi kakataa kupokea nyumba,na kaahiza .Hakuna matokeo tusubiei tuone
Vingi ALISEMA na kutoa MDA. Utakua Hilo soko. Juzi kakataa kupokea nyumba,na kaahiza .Hakuna matokeo tusubiei tuone
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Jan 16, 2022 #387 Aisee
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,483 Reaction score 6,257 Jan 16, 2022 #388 Twafwaaaaaa.... Demu wangu sijui aliokoa mizani zakee
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Dec 24, 2024 #389 Ipo sehemu gani tukajisomee kwa maslahi ya umma?