mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 835
- 1,608
Moto wenyewe unasemajeMbona ajali za Moto nyingi sana
Unasema irudiweMoto wenyewe unasemaje
Yalaaah .Inasikitisha,kuna wafanya biashara watakufa kwa pressure. Imagine biashara yako haina hata bima. 😭Video
Uzi wake ulizungumzia soko la Kariakoo ama?Juzi kuna mtu aliandikwa uzi kua soko linaungua uku jamii forums ukafutwa leo hii imekua kweli
Bado mapema kubaini chanzo cha moto.Chanzo cha Moto ni nini?
Yalaaah .Inasikitisha,kuna wafanya biashara watakufa kwa pressure. Imagine biashara yako haina hata bima. 😭
Waziri mwenyewe wa fedha Mwigulu !!!.Tunakoelekea tulinde BOT