Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Wanasema soko kuu la kariakoo ...lipo moja soko kuu la kariakoo lakini
Huyo jamaa nae anashangaza sana, wameandika Soko la Kariakoo linawaka moto sasa hivi, yeye anasema kariakoo kubwa, kariakoo sehemu gani.
Inaonysha hakusoma vizuri kichwa cha habari.
 
Hapo kuna namna, wale viongozi wa soko waliopigwa chini na madame president kuna namna hapa wanaweza kuhusika katika hili. Tutaanza na hawa kwenye uchunguzi wa tukio hili
 
Poleni sana wahanga wa moto kwa kupoteza Mali zenu.
Muhimu ni kuweka backup za CCTV cameras na fire alarm detectors kwenye majengo yote na maeneo yote ya public.
 
Chanzo cha moto huo nini ?

Fire wameshatoa sababu za kuchelewa au wameweza kufika mapema

Maana Kwa kutoa sababu fire wako vizuri, Soko la samunge arusha mjini liliungua fire walishindwa kuzibiti moto Kwa wakati..
 
Back
Top Bottom