Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Pengine walihofia wangeshindwa kuwacontrol na mali nyingi zingeibiwa hapo na hakuna wangeweza fanya hao walinzi.
Sio wote wataiba, kuna wengine wana biashara ndani humo hawezi kwenda kuiba wakati huo mali yake inateketea. Mali ambazo zingeibwa zingekuwa chache kuliko hizo zilizoungua. Jamaa mwenyewe anasema KUNA HUJUMA IMEFANYIKA
 
Kweli mkuu.

Hapo uchunguzi ufanyike vya kutosha
 
Wakuu soko limeteketea kabisa..
Mitaji iliyokufa mule ndani aisee,
Mungu awape nguvu ..
Nalijua soko la kariakoo wengi ya wanaobangaiza mule sio kama wanamapesa mengi hapana,,
Wengi ni mikopo na uzoefu t wa mule sokoni ndani imewafkisha kwenye mitaji kidogo iliyochangamka..
Iki kilio sio kidogo wakuu..
Watu washarudi kwenye umaskini.
 
Back
Top Bottom