Paroco
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 2,389
- 10,595
Hii isipuuzwe hata mimi niliuona uzi kama huo nikajiuliza hii kariakoo gani ya leo.
Yule mtu aliyeandika uzi achunguzwe vizuri kwa nini alisema linawaka moto alafu leo imetokea.
Au ni time traveller ?
Sema mods wanazinguaga sana kufuta uzi mapema mapema.
Sasa hapa tungekua na maswali mengi sana ya kumuuliza mleta uzi!!!