Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

ile Kesi iliyokua inaikabiri jamii forum ilikua na chanzo kama hiki.

Serikali iliitaka Jamii forum kutoa taarifa za watu furan furan kwa ajiri ya uchunguzi wakatukana na kizingiti. Mashtaka yakaja

So hata hilo linaweza kuwa na sura ile ile,
Dha.

Lakini wakati mwingine kuna haja ya kuwapa ushirikiano serikali katika mambo kama haya.

Kama kuna njia ingine ambayo ni salama kwa watumiaji sioni ubaya wakatoa taarifa kwa vyombo pale wanapotaka kufanya uchunguzi.
 
Hii yote ni laana kutokana na kubinya haki za wananchi
Mkuu Mungu sio mjinga kiasi kwamba anatoa laana kwa watu ambao wanabanwa ili awabane kwa mara ya pili.

Mungu ametakasika na fikra na mambo ya kijinga akma haya unayosema.

Yani wananchi wanabawa,alafu Mungu anakuja kutoa laana kwa tukio ambalo litawaumiza hawa hawa wanaobanwa.

Kuwa siriazi mkuu watu wanaunguliwa
 
Tanzania katika uokoaji bado sana yaani saa zaidi ya nne moto wameshindwa kuuzima ,inasikitisha sana!! Fire Hydrant hakuna k/koo? wameshindwa kufanya uwekezaji wa Fire Hydrant? Ma VX/Kilimo kwanza ya milioni 400 kwa kila dc/rc/ded/das/ras wameweza ila Fire Hydrant wameshindwa.
Tanzania uokoaji ni sifuri ya kutia aibu
 
Ukienda baadhi ya nchi nje ya africa.
Njiani na baadhi ya maeneo hasa mijini utakutana na mabomba kwa ajiri ya fire kila baada ya umbali kadhaa.

Yote hayo ili kuepuka mambo kama haya.
Nashauri serikali ifanye mpango kama huu huku Tanzania.
 
Hata
Ukienda baadhi ya nchi nje ya africa.
Njiani na baadhi ya maeneo hasa mijini utakutana na mabomba kwa ajiri ya fire kila baada ya umbali kadhaa.

Yote hayo ili kuepuka mambo kama haya.
Nashauri serikali ifanye mpango kama huu huku Tanzania.
Hata hapa yapo, ni sehemu muhimu kwa miji iliyopangwa.
 
Unamaanisha magari yamekuja tupu? Siamini mkuu!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Tatizo la watu ni kutokufahamu jinsi magari ya zima moto yanavyofanya kazi, ile pressure ya maji inayotoka pale lile tank ni dakika tano tu maji yamekwisha, sasa mtu akiona vile hususani labda amekutana nalo njiani, linaenda kwenye tukio, eee mala baada ya dk 5, analiona rinarudi tena, ndio hapo husema gari limekwenda bila maji!!!sasa gari liende eneo la tukio bila maji ili iweje?!!!miundo mbinu yenyewe bado sana , ni mungu tu ndio anayetulinda.
 
Kutoka fire mpaka Kariakoo sokoni ni dakika 5 tu, imekuaje imewachukua fire masaa yote hayo
kariakoo fire wamemwagwa kila kona, wanatoza watu ada za mwaka, hela za mtungi na service, hakuna excuse aisee washindwe kuzima moto jengo moja, lile jengo wafanyabiashara wake wote wana mitaji midogo, wapo zaidi ya 100 mule, nina uhakika hawana bima, sijui hata wana hali gani sasa hivi.
 
Wahuni wa maccm ba vipaumbele vya Taifa kama vya kupambana na majanga wapi na wapi Mkuu? Trillions za kununua V8 zipo billions za kuwajengea nyumba Marais wastaafu nyumba ambazo hawazihitaji zipo, lakini pesa ya kununua magari ya zimamoto HAKUNA!!!

Tanzania katika uokoaji bado sana yaani saa zaidi ya nne moto wameshindwa kuuzima ,inasikitisha sana!! Fire Hydrant hakuna k/koo? wameshindwa kufanya uwekezaji wa Fire Hydrant? Ma VX/Kilimo kwanza ya milioni 400 kwa kila dc/rc/ded/das/ras wameweza ila Fire Hydrant wameshindwa.
 
Back
Top Bottom