Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Pole yao waliopoteza mitaji yao!!!

Umasikini ni mbaya.
 
Hii isipuuzwe hata mimi niliuona uzi kama huo nikajiuliza hii kariakoo gani ya leo.

Yule mtu aliyeandika uzi achunguzwe vizuri kwa nini alisema linawaka moto alafu leo imetokea.

Au ni time traveller ?
Ukute Jf tuna time traveller aisee
 
hili wanahusika moja kwa moja
Tunaweza kuwahukumu bure pia vipi kama wanaokaimu ndo wanahusika ili kuwaharibia kabisa waliosimamishwa ? maana kwa hali yeyote mtuhumiwa ataonekana ni aliyetolewa kwa mazingira ya kufikirika lakini kwa kawaida mtu huwezi fanya jambo litalokuweka wewe matatani moja kwa moja uchunguzi ufanywe pasipo kuonea mtu maaa siku hizi hatuna wapelelezi tuna wabambikizi wanatafuta mtu wa kubambikia kesi inashia hapo
 
Back
Top Bottom