KERO Responded Soko la Kariakoo linafunguliwa lini? Naona wana kazi ya kuwasha taa na kuzima tu!

KERO Responded Soko la Kariakoo linafunguliwa lini? Naona wana kazi ya kuwasha taa na kuzima tu!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Soko Kuu la Kariakoo lililoungua Mwaka 2021 kisha kujengwa lote limekamilika, pamoja na kwamba kumekuwa na ahadi nyingi za viongozi wetu lakini kwa ufupi hakuna kinachoendelea cha maana mpaka sasa.

Kinachofanyika ni kuwasha taa usiku na kulinda, sasa wanasubiri nini? Maana mpango wa kufungua ulikuwepo tangu Februari 2025 lakini mpaka sasa bado ni kizunguzungu tu.

Wafungue bwana ili Wafanyabiashara waliokabidhiwa waendelee na biashara maana walipata hasara mkubwa kipindi kile.

Tunateseka, Serikali iseme kipi kinakwamisha kufungua soko, kuna shughuli nyingi zimekwama na nyingine zinaendelea lakini sio kwa ukubwa huo.

1753080327640.png
 
Wana subiria kampeni ziwanze. Ukihoji huo umeme MBONA UNAENDA Bure unajibiwa hutoi hata mia KWENYE luku inakuuma Nini. Kha HIZO ni Kodi zenu watanzania tuna haki ya kuhoji bhana. WahusikabEmu kazimeni ....


Bro Alex on da beats
 
Mhm ajari ya soko la Kariakoo imetokea 2021, mbona naona ni kama siku chache tu zimepita😄😄
 
Back
Top Bottom