KERO Soko la Karume limejaa madalali ambao wamekuwa kero kwa wanunuzi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Yaani wale pita kama umeweka pamba masikioni ...wakikusemesha we busy kuangalia kile unachotafuta..wanakata tamaa wenyewe....usiwe entertain wala kuwajibu jibu..wala usiwaangalie usoni..maana hao madalali kazi yao ni kupandisha vitu bei kitu cha elfu 10 utauziwa 30
 
Bongo bahati mbaya...imagine hao jamaa wanatoka nyumbani kwao wanasema wanaenda kazini ilhali hio sio kazi ni ubabaishaji uliokithiri.
Inasikitisha sana
 
Soko la Karume limejaa madalali wengi sana (Mawinga) hawa mabwana wamekua Kero sana kwani wanakuvutavuta kukuita na makwazo mengi sana.

Ifahamike kile mteja aanajua bidhaa anayohitaji lakiji hawa wanakuvuta huku mara kule yaani wamekua kero sana. Wengi wao ni walevi na wavuta bangi.

Pia wamekua wakipandisha bei ya bidhaa ili wao wapate Chochote (Ganji) jambo ambalo linamuongezea muuzaji gharama.

Watu wapo tayari ukiwa mkali wakufuate hadi duka unalokwenda ukifika pale muuzaji akimuona tuu lazima apandishe bei ili kuweza kumlipa mtu huyo.

Kama kuna mamlaka au uongozi wa soko unahusika na maslahi ya wanunuaji, basi waliangalie hili suala.
Sasa sisi madalali tukale wapi?
 
Mi huwa nakuwa mkali
Akinifata nampatia makavu na mabichi.
Huwa hawanisumbui
 
Yaani wale pita kama umeweka pamba masikioni ...wakikusemesha we busy kuangalia kile unachotafuta..wanakata tamaa wenyewe....usiwe entertain wala kuwajibu jibu..wala usiwaangalie usoni..maana hao madalali kazi yao ni kupandisha vitu bei kitu cha elfu 10 utauziwa 30
Hii inafanya kazi kwa sie jinsia ya me ila watoto wa kike wanapata taabu sana coz huwa wanashikwa kwa lazima na kuvutwa vutwa
 
Halafu jambo la kushangaza vyombo vyetu vya habari vimeshakariri habari mpaka kiongozi wa serikali ameenda sehemu ilhali habari kama hii ya usumbufu wa madalali huwezi kukuta wanaitangaza.

Walipaswa kwenda kisiri siri na camera za maalum zisionekana warekodi matukio yote mwisho wa siku wayarushe kwenye taarifa ya habari ...bila shaka tabia hii itakoma.
 
Soko lipi la Karume? Maana pale kuna soko la Karume la mitumba na lile la bidhaa nyingine za vyakula.
 
Bongo bahati mbaya...imagine hao jamaa wanatoka nyumbani kwao wanasema wanaenda kazini ilhali hio sio kazi ni ubabaishaji uliokithiri.
na kuna watu wanawatetea, nashangaa sana kwa nini wanaendekezwa, Sema sana wako huko Dar, kwa Arusha walikuwepo kitambo sana hasa kwenye mitumba mitumba huko.
 
Back
Top Bottom