Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
We ndio unaona ujinga, sikubaliani na udhalilishaji na usumbufu wanaosababisha ila kuwaondosha jumla sio sahihi. Kuna mdau naona amechangia kwa kuuliza hawapati tu mitaji wafungue goli/biashara yao, kwa mwendo huu wa kutaka watolewe hiyo mitaji watatolea wapi?so ndio unatatea ujinga? Congo na vita. yao huwesi kuta huu ujinga, ni matokea ya uswahili
Ajira hakuna ila kazi zipo na kazi zenyewe ndio hizi zilizojaa kero, maisha ya utafutaji ni magumu sana sijui kama mnaliwaza hilo. Wakitolewa hapo wapelekwe wapi? Najua wengi watasema wakalime, kwa mitaji ipi?
Kuna kazi za vibarua vya ujenzi ila nako kumejaa, idadi ya vijana wasiokuwa na kazi ni wengi mno hao mnaotaka watolewe kwenye uwinga wakaibe au wawe omba omba? Binafsi nadhani ni bora kuandaa utaratibu mzuri ili kuwafanya wanufaike zaidi na kazi hiyo kuliko kuwafukuza kwenye hicho kidogo wanachokitafuta kiuhalali.