Soko la Karume limeungua moto

Serikali bila kujua indirectly inaua mabenki na vikundi vya mikopo midogomidogo maana hawa wahanga wote pesa zao zinatoka huko sasa watarejeshaje, mwisho wa siku Uchumi utaanguka alafu tuanze kutafuta mchawi ni nani. Haya mambo ya kipuuzi sasa yafikie ukomo
 
Sasa utasemaje wao ndio wameruhusu ikiwa wao wanapiga kura ili kuwaondoa ccm ila ccm inatumia mabavu ya jeshi kuendelea kukaa?
Wewe kinachokuburuza ni elimu huna juu ya masuala haya.Ukisoma political sayansi, laws za siasa zinasema kuwa hakuna jeshi wala kifaru wala mabomu ya nyuklia ambayo yanaweza kuishinda nguvu ya wananchi.

Na law hii inathibitishwa kwa kuangalia mapinduzi ambayo yaliletwa na wananchi kwa kupindua serikali za kidikteta ambazo zilikuwa katili sana kwa wananchi wao.

Tawala za zamani za nchi kama Urusi,Iran china na kadhalika zilikuwa na silaha na ukatili wa kila aina lakini wananchi walizipindua.

Kwenye dunia ya sasa unaweza kuangalia mifano kutoka kwenye nchi kama vile Misri,Tunisia na kadhalika.

Ukiona nchi fulani kama Tanzania wananchi wake wanagandamizwa na tawala katili jua ni uzembe wa hao wananchi wala siyo jeshi au slaha au polisi.

Hakuna nguvu ya watawala ambayo inaweza kuishinda nguvu ya uma na hili linathibitishwa kwa historia kuonyesha kuwa tawala zote katili duniani zilipinduliwa na wananchi.
 
That being said tunahitimisha kuwa raia wa tanganyika wamekubaliana na ukandamizaji unaofanywa na majizi ya ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That being said tunahitimisha kuwa raia wa tanganyika wamekubaliana na ukandamizaji unaofanywa na majizi ya ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine majizi ya CCM yapo huru hadi kuitisha vikao vya kujadili jinsi ya kuitafuna nchi yakiwa live TBC Taifa na yanatambiana kuwa sasa hivi yemeanza kuvimbiwa kwa kuitafuna nchi!
Your browser is not able to display this video.
 
How?

Lazima kuwe na mikakati,haki inadaiwa kwa nguvu.

Wabongo katiba mpya kudai tu ni issue,kuandamana ndo kabisa...'niko bize'

Acha watunyooshe kwanza!
 
Agenda za New World Order. Dkt Magufuli aliwajengea wananchi kujiamini na walijiamini kweli kweli hasa kipindi cha Corona. Wakati huo huo mataifa mengine yaliwafanya wananchi wake wawe waoga na waziogope serikali zao na kufuata kila maelekezo kwa hofu, ila kwa Tanzania watu walijiona ni vidume kwa kuona serikali inawatetea na kuwapa kujiamini. Lengo la kuchoma moto nafikiri ni kujenga hofu na kurudisha uwezo wa serikali wa kuamua vitu bila kufikiria maslahi mapana ya raia. Na anayeendesha huu uunguzaji wa masoko ni huyo huyo aliyeleta chanjo etc
 
Kwan JPM ndo aliweka soko la karume pale mbona mnaongea kama machizi muda mwingine? Baada ya kumlaumu aliyejenga soko la machinga complex kwann hakuandaa mazingira ya kuwahamisha machinga , ww unamlaumu mtu ambaye hausiki kwa lolote
 
Kwahyo kuchoma biashara za watu ni sawa tu ? kisa magufuri aliwaruhusu wakae pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…