tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Na huko soko la Karume tayari watu wamejipimia. Nchi inajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno.Ukimchekea Kima lazima uvune mabua.
View attachment 2083049
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huko soko la Karume tayari watu wamejipimia. Nchi inajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno.Ukimchekea Kima lazima uvune mabua.
View attachment 2083049
Tuweke list hapa ambako machinga hawataki kuhama wajiandae kwa motoWa soko la Manzese wajiandae
Hata wewe unaweza mchagua mtu na akakusaliti think wisely.Mumlaumu JPM kwa kumweka mama kuwa makamu wa rais na Rais Mtarajiwa. Kama mlimheshimu JPM.. Mheshimuni na Mama pia. Ni chaguo la kipenzi chenu JPM. Kaeni kimya kabisa sababu hapa tulipo ni MAKOSA YA JPM tokea awali.. kila kitu cha nchi hii KILICHOVURUGIKA NA KINACHOVURUGIKA NI SABABU YA JPM aka Mwendazake
Sina la kuongeza umenyoosha kama rulaHaya Matukio yaendelee, yaongezeke, yazidi kuwa Mengi, yasiache kutokea, Hadi pale Watanzania Akili Zitakapo Funguka na Kudai Katiba Mpya Kwa Nguvu.
Kitu ambacho bado hatujakijua Watanzania Ni Kuwa, Viongozi Wetu wana DHARAU SANAA wananchi wake Hilo lipo wazi Kabisa Kabisa, tena Ni Dharau Iliyopitiliza. Haya matukio sio Mapya nchi kwetu lakini hakuna hata Siku 1 ilitoka Report Ya Tukio la Moto watu wakawajibishwa kwa namna Yoyote ile kama Sio Dharau ni Nini? Yaani Viongozi wetu wanaweza kujua Ugaidi wa Kutaka Kulipua Vituo Vya Mafuta Bila Vipulizi lakini wanashindwa kujua Chanjo za Moto na nani Muhusika?
Mpaka siku, Ikulu iwake moto, Bunge liwake moto.
Wale machinga wote walio lazimishwa kuhamia pale Wamepata Hasara tena hii January [emoji27][emoji27][emoji27][emoji27] watoto wakiwa Wamefaulu kwa kishindo.
Kiukweli.. hajamsaliti. Aliona nchi ilikuwa inapotea na ndio sasa anapambana kuirudisha kwa msitari. Tatizo teari gari lilishaingia kwa shimo KUBWAHata wewe unaweza mchagua mtu na akakusaliti think wisely.
Hawakuruhusiwa kuuzima kabisa ili malengo ya serikali yatimie ?TBL fire brigade waliwahi ila maelekezo waliyopewa ni kuudhibiti moto usihamie upande wa kiwanda na ule upande wanaoishi raia
Hao wanaotumwa kuchoma moto huwa hawana ndugu sehemu kama hizo ?Huu Moto umesetiwa Kia's kwamba Ni ngumu kuuzima
Mazingira ya karume Ni rahisi Sana kuzima Moto tofaut na k'koo au pengine.
Bila shaka
Ilishamwagwa petroli kuzunguka soko lote,Moto unazunguka afu unakutana katikati.
Hapo huokoi chochote
Binafsi nahisi haya masoko yanachomwa makusudi ili kuyajenga ya kusasa.. Embu fikiria masoko haya.. Soko kuu Songea, Soko la Mwanjelwa Mbeya, soko la Moshi, Soko la Mwanza... etcHii tred ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?
Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.
Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.
Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.
Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.
View attachment 2083158
"Zama hizi ni kuwakomesha msikini" zama zipi ziliwapenda masikini?Watu mnapenda kukurupuka! Wapi nimeandika masikini alikuwa na Raha au karaha? Hujui kusoma? Nimeandika nilichoandika kutokuelewa kwako hainihusu.
Viongozi wa nchi hii wanatumia hovyo mnoooo pesa za walipa kodi, hii tabia itakoma siku tukianza kushikishana adabu nje ya mifumo rasmi ya sheria.Fire yenyewe ina magari 3 halafu unakuta kuna shangingi VXR za kushato kitaa
Wapi nimeandika kuna Zama zimewapenda masikini? Unajiwekea tafsiri zako. Jibu mwenyewe."Zama hizi ni kuwakomesha msikini" zama zipi ziliwapenda masikini?
Hoja mnaleta za kipumbavu watu wanahagaika kutafuta ridhiki angalau kidogo walahisishe maishaUkikosa hoja unabakia kutukana tu
Mwenye Cv ya elimu ya Amosi anitumie inboxHii trend ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?
Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.
Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.
Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.
Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.
View attachment 2083158
Huyu mtu yupo kumbe nchi hiiTenda za masoko yote kalamba Manji kuanzia kariakoo na hili karume hii nchi bana.
Kumbe ccm huwa inashinda kwa sanduka la kura?Wa kwanza kabisa anaehusika na hili ni hao hao vijana wafanyabiashara wa Karume kwa kuruhusu CCM kushika dola.
Waliochomewa soko ndiyo wanaopaswa kulaumiwa wa kwanza kwa kuruhusu nyoka kuchukua nchi.
Ukweli mchungu ni kwamba Wamef*rwa na serikali ya CCM.CCM wakati wa kampeni wanawaomba kura halafu wakishashika dola wanawaf*ra!
Hii nchi hakuna kitakachobadilika ni mpaka pale CCM watakapowekwa pembeni.