t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Mkuu kwa Tanzania hili la akili kuwa kaa sawa linaweza lisitokee , watu wanajali sana maslahi yao , hata sisi watu wa chini,Haya Matukio yaendelee, yaongezeke, yazidi kuwa Mengi, yasiache kutokea, Hadi pale Watanzania Akili Zitakapo Funguka na Kudai Katiba Mpya Kwa Nguvu.
Kitu ambacho bado hatujakijua Watanzania Ni Kuwa, Viongozi Wetu wana DHARAU SANAA wananchi wake Hilo lipo wazi Kabisa Kabisa, tena Ni Dharau Iliyopitiliza. Haya matukio sio Mapya nchi kwetu lakini hakuna hata Siku 1 ilitoka Report Ya Tukio la Moto watu wakawajibishwa kwa namna Yoyote ile kama Sio Dharau ni Nini? Yaani Viongozi wetu wanaweza kujua Ugaidi wa Kutaka Kulipua Vituo Vya Mafuta Bila Vipulizi lakini wanashindwa kujua Chanjo za Moto na nani Muhusika?
Mpaka siku, Ikulu iwake moto, Bunge liwake moto.
Wale machinga wote walio lazimishwa kuhamia pale Wamepata Hasara tena hii January [emoji27][emoji27][emoji27][emoji27] watoto wakiwa Wamefaulu kwa kishindo.
Leo hii watu wanamlaumu mama , wanasahau katiba mbovu ndo imeleta yote haya , jpm na ubabe wake kuna watu walifaidika , mama nae kuna watu wanakula vizuri tu ndani ya kamba zao.