Soko la Karume limeungua moto

Mkuu kwa Tanzania hili la akili kuwa kaa sawa linaweza lisitokee , watu wanajali sana maslahi yao , hata sisi watu wa chini,
Leo hii watu wanamlaumu mama , wanasahau katiba mbovu ndo imeleta yote haya , jpm na ubabe wake kuna watu walifaidika , mama nae kuna watu wanakula vizuri tu ndani ya kamba zao.
 
Ina
Ina maana lote mpk kwenye mitumba kule?
 
Nimepita pale wakati nakuja kariakoo kwakweli nilichokuona nimeshikwa na uchungu sana japo sina ata biashara pale
Kuna mtu huwa nanunua viatu kwake , huwa ananitumia kwa what's up nikikipenda ananiletea maisha yanaendelea , sasa asubuhi nikamtext anipe raba alizonazo ndo akanipa hii habari , kapoteza mzigo wote , kwenye huo moto
Nimepata huzuni sana
 
Kama kawaida bwana katelefone atakuja na tume ya uchunguzi itoe majibu ndani ya siku 7, bwahahaha.......hii nchi ya wadanganyika ngumu sana.
 
npo serikalini ila siung mkono huu uchoko ! Leo kwa machinga kesho kwako ,katiba mpya yenye kufuatwa ndo silaha ya wanyonge ! Sio kila siku itakuwa jumapili
Hahaha...

Kwani nakupinga,sipingani na mawazo yako

Ila sisi mambo yetu tunaendesha vagarant

Ova
 
Vizuri umeelewa bwana mdogo. Sisi tuko jikoni kabisa. Bila sisi usingelala usiku kwa amani na mke wako. Nchi iko salama hadi watu wanajamber bila bughdha, ni kwasabab yetu. Tunafaham kila kitu nchini.

Hata Bakhresa mwenyewe 4 Billion USD hana, ije kuwa Raisi wa miaka 5 tu? Kwenye nchi masikini kama TZ uchukue 4 billion USD na kila kitu kiende sawa mishahara ilipwe, bidhaa ziagizwe, kusiwe na uhaba wowote na bado kuwe na foreign reserve kubwa tu ?

Hauelewi unachokiandika hata dollar US ni nini hauelewi, unajiandikia tarakimu.
 
Pale huwa watu wapo. Petrol harufu ingesikika, vitu vya Karume vyenyewe tu ni petrol
Sio lazima itumike petrol mkuu,
Unaweza tumika Uzi/kamba ukaloweshwa KWENYE mafuta ya taa pakazungushiwa
 
Bwana mdogo iyo billion 4 ni ile sisi kitengo tumethibitisha. Fugure ya kweli huenda ikawa 11billion usd tena kalamba yeye pekee yake. Kila mkopo na mradi katika utawala wake alikwapua 10%. Ndo maana mzalendo Assad walitaka kumuua. Na alionywa kabisa kutokagua miradi yote ATCL, Ikulu na mikopo yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…