Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
MmhKwanza hayo mabanda wameyajenga wenyewe hao wafanyabiashara
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhKwanza hayo mabanda wameyajenga wenyewe hao wafanyabiashara
Ova
Hisia za wajumbe ni kuwa kuna mwekezaji atakuwa anapataka pale😅 na watu washapewa chaoIla kiukweli lile eneo kumbe ni kubwa Sana, panafaa uwekezaji wa maaana kabisa
Wakati anawatoa kina lukuvi yakikuwa yanashangilia humu eti bora anawapukutisha sukuma gang!Hahahahah walisema ni dhalimu fisadi bora kafa! Sasa wacha nchi ifunguliwe kwa wezi na matokeo ni chap chap
Hahahahah hapo unakuta GSM wanapataka na ahadi ni kuweka business yao ambayo riz moko atakuwa anakula 10% kwenye faida kila mwaka😅 ni mwendo wa kuwachomea wamachinga chap tu halafu show zinapigwa night kali bila vuruguWakati anawatoa kina lukuvi yakikuwa yanashangilia humu eti bora anawapukutisha sukuma gang!
Kina riz moko ndio hao sasa wenye viwanja vyao wamepewa rungu
"wamachinga hawalipi kodi kwa hiyo hawana faida"Hisia za wajumbe ni kuwa kuna mwekezaji atakuwa anapataka pale[emoji28] na watu washapewa chao
Wanamkumbuka sana tu na bado! Ni swala la muda tu Ilala Boma utaskia napo pamepigwa nali akili zitawakaa sawa"wamachinga hawalipi kodi kwa hiyo hawana faida"
Yani unakuta hoja kama hii inatolewa na mtu kamaliza chuo hana ajira na yupo ana kaa kwa dadake kapewa tu bando la kuingilia jf,!
Yule waliemuita dhalimu watamkumbuka tu
Kama hao washauri ndio wanashauri haya Mambo ya tozo Basi Ni Bogus tuFunga mdomo wako kama hujui mambo. Nani alikwambia jpm alikuwa kwenye orodha ya kuwa raisi? Jpm aliwekwa kama zima moto baada ya kuona moto wa lowasa hawauwezi. Jpm aliingia kuokoa jahazi, mkapa ndo alipendekeza jina lake ila kumbuka wale watu walikuwa na jina jingine.
Walivyoona moto wa lowasa ni mkali wakakubaliana na mkapa jpm akapita.kumbuka mkapa alikuwa mstaafu so sauti hakuwa nayo kuwa. Wale watu ndo walimpendekeza huyo mwanamke, jpm mwanzoni alikataa ila mwisho ikakubaliana nao. Unajua serikali ina washauri wengi kuliko unavyodhani.
Unakumbuka kipindi tetesi yule mama alivyotaka kujihuzuru? Akazila akaenda visiwani akakaa? Jpm alimjibu hambembelezi akitaka aache.
Wale watu wakaona wanakosa mtu wao serikalini, wakambembeleza akarudi.
Sasa wewe usojua mambo unaongea nini? Nyamaza tu hujui chochote.
Si waliyapigilia mabati na mirunda,mabao
C'mon brother.. I will always respect you.. no matter what. Let us put politics aside bro. You know politics and religion always BREAK UP FRIENDSHIPS AND STUFF. Let us not let it get in the way of our JF friendship. I do not want to lose you brother. One luv my nigga, and Am Always Grateful for Your Support Here at JF 🙏🙏🙏I used to respect you man but with this kind of thinking, nigga you about to lost a fan! Huwezi ku act like a crazy muthafucka without brains...
I appreciate your fucq, one luv hommie🙏 no more bullshit with deez politics shit!C'mon brother.. I will always respect you.. no matter what. Let us put politics aside bro. You know politics and religion always BREAK UP FRIENDSHIPS AND STUFF. Let us not let it get in the way of our JF friendship. I do not want to lose you brother. One luv my nigga, and Am Always Grateful for Your Support Here at JF 🙏🙏🙏
Athari ni kubwa sana kuanza kwa machinga wamiliki wa biashara hapo karume mpaka kwa waagizaji wa mitumba,hasara kwa machinga wanaotembeza mitaani mpaka kwa wale wenye maduka wanayoyaita mitumba classic au sijui mitumba nini......shida zaidi ni kwa wahitaji kwani bidhaa za madukani kutoka Asia bado hazikidhi wingi na viwango vya baadhiWahuni sana hawa jamaa...
Wamachinga wamekomaa for years kubrand lile eneo hadi limejilukana kitaifq yani.. af now matajiri wanapatolea macho wapige percent zao dahh noma sana mitaji ya wapambanaji kibao imeteketea pale
Tumerudi kwenye tume na kamati zetu zisizo na majibu,watu wanajipigia tu hela. Ile kamati ya kariakoo shimoni imerudi na majibu gani.Mishavu mikubwa kama yale Mapaka ya Hotelini🐒🐒🐒
View attachment 2084599
Nimekuelewa sana... ile ilikua sekta kubwa sana kiuchumi dar hapo..Athari ni kubwa sana kuanza kwa machinga wamiliki wa biashara hapo karume mpaka kwa waagizaji wa mitumba,hasara kwa machinga wanaotembeza mitaani mpaka kwa wale wenye maduka wanayoyaita mitumba classic au sijui mitumba nini......shida zaidi ni kwa wahitaji kwani bidhaa za madukani kutoka Asia bado hazikidhi wingi na viwango vya baadhi
Kweli jamaa wali brand eneo lile kwa miaka mingi sana mpaka likakubalika kitaifa na kimataifa na leo hii watatakiwa waondoke wakaanzishe kama litapatikana eneo lingine na la kuwatosha
Pia hata huko watakapopelekwa au ikiwa watabakishwa hapo hapo kuna haja waweke miundo mbinu itakayopunguza ueneaji wa kasi wa moto na kupunguza hasara pindi moto utakapotokea kwa kuweka vijia vipana,kutengeneza meza za chuma na mengineyo ambayo yatakayoendana na mahitaji ya kupambana na moto toka kwa wataalam
They dont feel the painMishavu mikubwa kama yale Mapaka ya Hotelini🐒🐒🐒
View attachment 2084599
Wote walewale!!Yupi bora? Aliyechoma vifaranga au mali za watu sokoni?
mara zote masoko yanaanza kuungua usiku haijawahi tokea soko kuanza kuungua mchanaHii trend ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?
Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.
Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.
Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.
TBL fire brigade walijaribu kutaka kuzima moto kwani uko karibu na depot yao wakakatazwa, kwamba waangalie moto usivuke kwenda kwenye depot yao na kwa wananchi ila mengine hayawahusu.
Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.
View attachment 2083158