Soko la Karume limeungua moto

Wakati anawatoa kina lukuvi yakikuwa yanashangilia humu eti bora anawapukutisha sukuma gang!

Kina riz moko ndio hao sasa wenye viwanja vyao wamepewa rungu
Hahahahah hapo unakuta GSM wanapataka na ahadi ni kuweka business yao ambayo riz moko atakuwa anakula 10% kwenye faida kila mwaka๐Ÿ˜… ni mwendo wa kuwachomea wamachinga chap tu halafu show zinapigwa night kali bila vurugu
 
Hisia za wajumbe ni kuwa kuna mwekezaji atakuwa anapataka pale[emoji28] na watu washapewa chao
"wamachinga hawalipi kodi kwa hiyo hawana faida"

Yani unakuta hoja kama hii inatolewa na mtu kamaliza chuo hana ajira na yupo ana kaa kwa dadake kapewa tu bando la kuingilia jf,!

Yule waliemuita dhalimu watamkumbuka tu
 
"wamachinga hawalipi kodi kwa hiyo hawana faida"

Yani unakuta hoja kama hii inatolewa na mtu kamaliza chuo hana ajira na yupo ana kaa kwa dadake kapewa tu bando la kuingilia jf,!

Yule waliemuita dhalimu watamkumbuka tu
Wanamkumbuka sana tu na bado! Ni swala la muda tu Ilala Boma utaskia napo pamepigwa nali akili zitawakaa sawa
 
Wahuni sana hawa jamaa...

Wamachinga wamekomaa for years kubrand lile eneo hadi limejilukana kitaifq yani.. af now matajiri wanapatolea macho wapige percent zao dahh noma sana mitaji ya wapambanaji kibao imeteketea pale
 
Kama hao washauri ndio wanashauri haya Mambo ya tozo Basi Ni Bogus tu
 
I used to respect you man but with this kind of thinking, nigga you about to lost a fan! Huwezi ku act like a crazy muthafucka without brains...
C'mon brother.. I will always respect you.. no matter what. Let us put politics aside bro. You know politics and religion always BREAK UP FRIENDSHIPS AND STUFF. Let us not let it get in the way of our JF friendship. I do not want to lose you brother. One luv my nigga, and Am Always Grateful for Your Support Here at JF ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
I appreciate your fucq, one luv hommie๐Ÿ™ no more bullshit with deez politics shit!
 
Watu wangu wa NGUVU.. Mnisamehe kwa posts zangu za kisiasa katika huu uzi. Nawaheshimu Sana Sana.. Sipendi SIASA ikaharibu Uhusiano, ushirikiano, na Support Tunayopeana Siku Zote. Pamoja sana watu wangu. Nawapenda Sana kwa kweli ndugu zangu tuliofahamiana hapa JF ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa kupata msamaha wenu.
Bushmamy
Extrovert
Luckyline
 
Wahuni sana hawa jamaa...

Wamachinga wamekomaa for years kubrand lile eneo hadi limejilukana kitaifq yani.. af now matajiri wanapatolea macho wapige percent zao dahh noma sana mitaji ya wapambanaji kibao imeteketea pale
Athari ni kubwa sana kuanza kwa machinga wamiliki wa biashara hapo karume mpaka kwa waagizaji wa mitumba,hasara kwa machinga wanaotembeza mitaani mpaka kwa wale wenye maduka wanayoyaita mitumba classic au sijui mitumba nini......shida zaidi ni kwa wahitaji kwani bidhaa za madukani kutoka Asia bado hazikidhi wingi na viwango vya baadhi

Kweli jamaa wali brand eneo lile kwa miaka mingi sana mpaka likakubalika kitaifa na kimataifa na leo hii watatakiwa waondoke wakaanzishe kama litapatikana eneo lingine na la kuwatosha

Pia hata huko watakapopelekwa au ikiwa watabakishwa hapo hapo kuna haja waweke miundo mbinu itakayopunguza ueneaji wa kasi wa moto na kupunguza hasara pindi moto utakapotokea kwa kuweka vijia vipana,kutengeneza meza za chuma na mengineyo ambayo yatakayoendana na mahitaji ya kupambana na moto toka kwa wataalam
 
Nimekuelewa sana... ile ilikua sekta kubwa sana kiuchumi dar hapo..

Kulikua hakulali pale muda wote watu wanakomaa mitumba yote dsm inaanzia hapo then inaingia mtaani..

Kuna mama ntilie kibao hapo walikua wanatafta riziki zao daily nw unazani wanafanyaje gafla gafla

Mtu alikua anaingia na mtaji wa ef 20 hapo daily kupata hela ya kula na familia na anaipata

Kama sio natural disaster aliehusika hatabaki salama
 
mara zote masoko yanaanza kuungua usiku haijawahi tokea soko kuanza kuungua mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ