Soko la Karume limeungua moto

Kuna uzembe mkubwa sn nchi hii kwenye matukio ya Moto ..

Wakati Hilo soko linaungua nilikuwa bandarini nakesha.Mida km saa Saba tukaona anga limebadilika kuwa jekundu na Moshi mzito hujatoka nje kuangalia vizuri Ila wengi tukajua ni kariakoo.tukawa tunasikia Tu milio ya gari za faya lkn Hadi asubuhi naenda home kupumzika nikiangalia ule upande uliokuwa unaungua Moto usiku bado nakuta Moshi mkubwa unaendelea kufuka

Sasa hivi ndy najua kumbe ule Moshi mzito ilikuwa ni soko la karume ambalo ndy lilikuwa linaungua..so sad
 
Tunashukuru kwa taarifa ingawa sijui kama mtu wa ishokela atajua hiyo karume ipo nchi gani na mkoa gan.
 
Ulaumu uongozi wa soko

Walaumu wafanyabiashara hapo wanaokaa bila mfumo unaoeleweka

Watu wanashindwa kujipanga

Ova
 
Mimi nimeona Moto mzito na Moshi umetanda angani tangu saa Saba za usiku nikiwa bandarini,Hadi naenda home kulala asubuhi bado naona Moshi unafuka
Sasa naanza kuamini haya matukio ya moto hayafanyiki kwa bahati mbaya na mashaka yangu yapo kwenye system
 
Mtafuteni makala anapo kaa nimoto tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…