Soko la Karume limeungua moto

Soko la Karume limeungua moto

Kuna uzembe mkubwa sn nchi hii kwenye matukio ya Moto ..

Wakati Hilo soko linaungua nilikuwa bandarini nakesha.Mida km saa Saba tukaona anga limebadilika kuwa jekundu na Moshi mzito hujatoka nje kuangalia vizuri Ila wengi tukajua ni kariakoo.tukawa tunasikia Tu milio ya gari za faya lkn Hadi asubuhi naenda home kupumzika nikiangalia ule upande uliokuwa unaungua Moto usiku bado nakuta Moshi mkubwa unaendelea kufuka

Sasa hivi ndy najua kumbe ule Moshi mzito ilikuwa ni soko la karume ambalo ndy lilikuwa linaungua..so sad
 
Good morning wapendwa. Kuna habari za kusikitisha za kuungua kwa soko la Karume Moto ambao umeanza SAA nane usiku.

Soko hili limeajiri vijana wajasiriamali wengi na ni kama chanzo Cha mapato Cha familia zao na watu wanaowategemea na Serikali pia kupitia Aina ya bidhaa zinazouzwa ambazo kwa kawaida ulipiwa Kodi pale zinapotolewa madukani na kuja kuletwa kwa mtumiaji. Ni changamoto nyingine kwa vijana wa kitanzania hasa wamachinga lakini sio hao tu Kuna vijana wajasiriamali wa makabila Kama yote ya Tanzania.

Kuungua kwa soko hili kunaumiza nyoyo za vijana wengi. Mungu awapatie nguvu za kupambana upya. Kariakoo, Karume na .....mmh !! Sijui hujuma!!! Mnisamehe kwa hii post lakini imeniumiza Sana kuona vijana wakiumia.

Video imeambatanishwa hapa chiniView attachment 2083084
Tunashukuru kwa taarifa ingawa sijui kama mtu wa ishokela atajua hiyo karume ipo nchi gani na mkoa gan.
 
Mumlaumu JPM kwa kumweka mama kuwa makamu wa rais na Rais Mtarajiwa. Kama mlimheshimu JPM.. Mheshimuni na Mama pia. Ni chaguo la kipenzi chenu JPM. Kaeni kimya kabisa sababu hapa tulipo ni MAKOSA YA JPM tokea awali.. kila kitu cha nchi hii KILICHOVURUGIKA NA KINACHOVURUGIKA NI SABABU YA JPM aka Mwendazake
Ulaumu uongozi wa soko

Walaumu wafanyabiashara hapo wanaokaa bila mfumo unaoeleweka

Watu wanashindwa kujipanga

Ova
 
Mimi nimeona Moto mzito na Moshi umetanda angani tangu saa Saba za usiku nikiwa bandarini,Hadi naenda home kulala asubuhi bado naona Moshi unafuka
Sasa naanza kuamini haya matukio ya moto hayafanyiki kwa bahati mbaya na mashaka yangu yapo kwenye system
 
Good morning wapendwa. Kuna habari za kusikitisha za kuungua kwa soko la Karume Moto ambao umeanza SAA nane usiku.

Soko hili limeajiri vijana wajasiriamali wengi na ni kama chanzo Cha mapato Cha familia zao na watu wanaowategemea na Serikali pia kupitia Aina ya bidhaa zinazouzwa ambazo kwa kawaida ulipiwa Kodi pale zinapotolewa madukani na kuja kuletwa kwa mtumiaji. Ni changamoto nyingine kwa vijana wa kitanzania hasa wamachinga lakini sio hao tu Kuna vijana wajasiriamali wa makabila Kama yote ya Tanzania.

Kuungua kwa soko hili kunaumiza nyoyo za vijana wengi. Mungu awapatie nguvu za kupambana upya. Kariakoo, Karume na .....mmh !! Sijui hujuma!!! Mnisamehe kwa hii post lakini imeniumiza Sana kuona vijana wakiumia.

Video imeambatanishwa hapa chiniView attachment 2083084
Mtafuteni makala anapo kaa nimoto tu...
 
Back
Top Bottom