BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika.
Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa.
Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani anawaza kuuza Marekani na ikishindikana kabisa basi Ulaya.
Huko kwa wavimba macho hakuna soko la maana wao wanataka kuuza kuliko kununuanu,na wanataka wazalishe kila kitu ili wauze.
Hii vita China inakula kwake, Marekani ana means nyingi sana kumbuka hata Ndege mpya za China zinatumia kwa asilimia kubwa techinolojia ya Marekani, sijui hilo mnalijua?
Bado China products nyingi anatumia techinolojia ya Marekani, kinacho wapumbaza ni Made in China?
Kwamba China ana soko kubwa Africa, Africa ipi? hakuna nchi ina dream kuuza Africa, China anauza substandard products huku Africa. Africa hakuna Purchasing power ya maana acheni kudanganyana, huku sana mitumba ndio size yetu.
Boeing wakiuza ndege 2 Dream line ni sawa na Toyo zote za China zilizo uzwa Africa kwa miaka 10 jumlisha zile Bus zao zote.