SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

Nahitaji Hummer drill machine.
Iwe nzima full set.
 
Nauza feni nzuri Aina ya Ailyons imetumika miezi Michache tu. Bei ni tsh 30,000 nipo dar Namba za Mawasiliano ni 0657438581 karibuni View attachment 2640074View attachment 2640075
DSC_0121.JPG

Sent from my SO-02K using JamiiForums mobile app
 
Wakuu, naomba niwape habari kwamba Jamaa aliyeanzisha hii thread alipata ajali ya kugongwa na treni akiwa Hapa Dar na sasa kalazwa Muhimbili Hospital akiendelea na matibabu.
Too Sad
Aiseeh! Mpe pole sana
 
Wakuu, naomba niwape habari kwamba Jamaa aliyeanzisha hii thread alipata ajali ya kugongwa na treni akiwa Hapa Dar na sasa kalazwa Muhimbili Hospital akiendelea na matibabu.
Too Sad
Pole kwake mungu amfanyie wepesi
 
Back
Top Bottom